Wasomi wa Tanganyika enzi za Uhuru 1961

Bila kumuona Abdu Sykes, Ally Sykes, Bakari Mwapachu na Babu yangu Dossa Aziz basi hii Orodha ina Uongo ndani yake

Ally na Abdul Sykes ndio walikuwa Wakuu wa shule walizosoma hao

Ally Sykes anawafundisha kuandika kina Nsilo Swai, Mwalimu Nyerere na hao wengine wote pale msikitini Magomeni...mimi nawaona kwa macho yangu ngogo Pascal Mayalla
 
Kitambo sana. Wachaga hawana shughuli mbovu linapokuja swala la academic
Babu yangu mwanzilishi wa nyumba zote za kariakoo ndiye aliyewafundisha hao wachagga kuvaa kaptula za shule
 
..Anza Amen Lema alikuwa Headmaster wa Ilboru sekondari. Mzalendo wa kwanza kuwa Headmaster Ilboru. Wanafunzi wengi wa makabila mbalimbali wamesoma Ilboru chini ya malezi ya Headmaster Lema.
 
..wengi walioandikwa humo walikuwa watumishi wa wazalendo wa kwanza katika serikali baada ya kupata uhuru.

..kundi hilo ndilo lililojenga misingi ya utumishi wa umma ambapo wengine wamekuja kuisimamia baada ya wao kuondoka.

..wengi wa waliandikwa humo walistaafu utumishi miaka ya 70 na 80. Na watumishi wa umma wa rika hilo walikuwa waadilifu kwelikweli.

..Katika hiyo orodha kuna Madaktari Bingwa wa Kwanza Tanganyika. Sasa hao ndio waliofundisha Madaktari wengine waliosomeshwa Tanganyika na Tanzania. Pia kuna Waalimu wakuu wa kwanza wazalendo, ambao nao wana mchango mkubwa kusomesha wanafunzi wa jamii mbalimbali waliopita katika malezi yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…