Wasomi, walimu wa vyuo vikuu wanadhihakiwa na Mwijaku kuwa hawana hela na wana njaa

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Katika kupita pita huko kwenye mitandao ya kijamii nilikutana na clip ya chawa mmoja wa CCM akiwakebehi walimu wa vyuo vikuu nchini.

Inasadikiwa walikutana walimu wa vyuo vikuu mia moja ili kujadili juu ya kesi inayomkabili mwenzao wa Udom.

Michango ikapitishwa na kilichopatikana ni sh laki tano.

Chaww huyu anadhihaki walimu wa vyuo vikuu mia moja kuchanga laki tano tu.

Hii inaonyesha msomi na mtu muhimu kwenye taifa hili hana thamani mbele ya jamii. Ila CCM inawathamini machawa kwa udi na uvumba

Waajiriwa wa serikali hata wale wa taasisi kubwa , wanafungwa na mikopo , unakuta mtu ana nyumba na gari fresh ila anategemea posho , huyo mshahara wake kakopea kama wote . Kuchangia pesa kwenye kesi kama hizo ni mtego , wana akili hao .
 
Katika kupita pita huko kwenye mitandao ya kijamii nilikutana na clip ya chawa mmoja wa CCM akiwakebehi walimu wa vyuo vikuu nchini.

Inasadikiwa walikutana walimu wa vyuo vikuu mia moja ili kujadili juu ya kesi inayomkabili mwenzao wa Udom.

Michango ikapitishwa na kilichopatikana ni sh laki tano.

Chaww huyu anadhihaki walimu wa vyuo vikuu mia moja kuchanga laki tano tu.

Hii inaonyesha msomi na mtu muhimu kwenye taifa hili hana thamani mbele ya jamii. Ila CCM inawathamini machawa kwa udi na uvumba.
Sasa umeajiriwa huwezi kuwa na pesa Unatakiwa uwe tayari kutumikia mfumo Kwa kupata ujira vinginevyo ukienda kinyume na mfumo unadhalilika.
 
Katika kupita pita huko kwenye mitandao ya kijamii nilikutana na clip ya chawa mmoja wa CCM akiwakebehi walimu wa vyuo vikuu nchini.

Inasadikiwa walikutana walimu wa vyuo vikuu mia moja ili kujadili juu ya kesi inayomkabili mwenzao wa Udom.

Michango ikapitishwa na kilichopatikana ni sh laki tano.

Chaww huyu anadhihaki walimu wa vyuo vikuu mia moja kuchanga laki tano tu.

Hii inaonyesha msomi na mtu muhimu kwenye taifa hili hana thamani mbele ya jamii. Ila CCM inawathamini machawa kwa udi na uvumba.
Huyo anayewadhihaki walimu wa vyuo,anajua vipato vyao kwa mwezi hadi aweke mawazoni mwake kwamba ni matajiri sana?Aache upumbavu wake.Anaongeaongea kama mtoto ndiyo maana tuhuma za ushoga zinamuandama kila siku.
 
Mtu anafanya propaganda na watu wanaingia mkenge. Inawezekana kabisa huo mchango ulikuwa wa ghafla na uliibuliwa tu pale mkutananoni kwa vyovyote vile lazima watoe kidogo kidogo sana. Kumbuka sasa hivi watu hawatembei na pesa nyingi "cash" kamuulize hata Mo pesa zipo benki. Na kwa hali ilivyo sasa hivi hata mimi ningekuwepo pale na nina uwezo wa kuchangia milioni moja pale pale ningetoa elfu kumi tu halafu off the camera ningetoa laki tisa na tisinii iliyobaki.

Mwisho ogopa sana mtu mjinga/mpumbavu anayejiamini.

Ni mtizamo tu.
 
Katika kupita pita huko kwenye mitandao ya kijamii nilikutana na clip ya chawa mmoja wa CCM akiwakebehi walimu wa vyuo vikuu nchini.

Inasadikiwa walikutana walimu wa vyuo vikuu mia moja ili kujadili juu ya kesi inayomkabili mwenzao wa Udom.

Michango ikapitishwa na kilichopatikana ni sh laki tano.

Chaww huyu anadhihaki walimu wa vyuo vikuu mia moja kuchanga laki tano tu.

Hii inaonyesha msomi na mtu muhimu kwenye taifa hili hana thamani mbele ya jamii. Ila CCM inawathamini machawa kwa udi na uvumba.
Wenyewe wanajiita wafaya biashara lakini huwezi kuona biashara gani wanafanya.

Mifumo hii uache Tu Acha watambw watubagaze
 
Katika kupita pita huko kwenye mitandao ya kijamii nilikutana na clip ya chawa mmoja wa CCM akiwakebehi walimu wa vyuo vikuu nchini.

Inasadikiwa walikutana walimu wa vyuo vikuu mia moja ili kujadili juu ya kesi inayomkabili mwenzao wa Udom.

Michango ikapitishwa na kilichopatikana ni sh laki tano.

Chaww huyu anadhihaki walimu wa vyuo vikuu mia moja kuchanga laki tano tu.

Hii inaonyesha msomi na mtu muhimu kwenye taifa hili hana thamani mbele ya jamii. Ila CCM inawathamini machawa kwa udi na uvumba.
nonsense 🐒
 
Lakini tano kwa watu 100 !!!! ????

Mwijaku amekosea namna ya kukosoa lakini walimu wajitafakari, 5000 kwa kila lecture ni sawa ? Na kwa issue serious mtu anasota jela ???
 
Back
Top Bottom