Wasomi, walimu wa vyuo vikuu wanadhihakiwa na Mwijaku kuwa hawana hela na wana njaa

Wanazuoni wamedhihakiwa. Kuna uhusiano gani na habari ya asiyesoma kuwa tajiri na aliyesoma kuwa masikini? Habari ya Mwl Nyerere kukataa dola laki tatu wakati alipoteza pesa za Watanganyika kupigania uhuru wa mataifa kusini vinaingia vipi hapa.

Bora mimi form four najitambua kuliko wewe na degree yako uliekariri Logical fallacies.

Wewe hata form four umefikaje bila kujua kusoma kwa ufahamu?

Yani huelewi somo kwamba inawezekana mtu akawa msomi, kwenye maisha yake kitu muhimu kikawa kuelimisha watu, akawa ana falsafa zake zinazoweka kipaumbele kwenye mambo ya utu, na falsafa zaidi, kuliko kutafuta hela, mfano kama Nyerere aliyepewa dola laki tatu na South to South Commission, akazikataa?

Huelewi kuwa dhihaka ya Mwijaku imejengwa kwenye msingi kwamba msomi anatakiwa kuwa na pesa nyingi, na mimi naonesha mapungufu ya dhana hiyo kwa sababu kuna watu wana principles zao za usomi wanakataa hela kwa sababu ya usomi wao?

Hujui kuwa kifalsafa watu wanaweza kukataa kazi za kifisadi zinazoweza kuwapa pesa nyingi ili wafanye kazi ya kawaida tu ya kufundisha kwa kuamini kufundisha kuna maana katika jamii hata kama hakumfanyi mtu awe na pesa nyingi?

Huelewi hilo somo kwa ujinga wa kawaida tu, au huu ni ujinga usio wa kawaida unaufanyia kazi ya ziada kujivika?
 
Msomi anatakiwa awe na pesa hasa mwazuoni. Anatakiwa alipwe mshahara mkubwa kuliko hata mbunge. Ila wewe hujui hilo sababu unatumia makalio kufikiri.

Wasomi ndio wanaotengeneza nchi na wanazalisha wataalamu. Acha kutumia makalio kama mwijaku.

Sera mbovu ndio zinasabaisha unakuta mwalimu mweye Phd analipwa mil tatu au nne.
 
Kwanza kabisa, sijasema msomi hatakiwi kuwa na pesa.

Tatizo wewe hujui kusoma kwa ufahamu, umefanya logical non sequitur fallacy.

Hujui kufanya abstract thought. Huwezi kufanya fikra dhahania.

Hujui immanent critique.

Nikiandika "hata kama sina hela..." hujui kusoma, unachosoma ni "sina hela".

Umefanya strawman fallacy.

Umepinga hoja ambayo mimi sijaijenga, kama vile ndiyo hoja yangu.

Wewe huwezi kujadiliana na mimi.

Huna mental sophistication ya kuchambua hoja zangu. Zinakuoita juu ya kichwa chako, huna uwezo wa kuzichambua kwa sababu hujui kusoma kwa ufahamu.

Huwezi kuni engage kwa hoja. Kwa sababu huna uwezo wa kusoma kwa ufahamu.

Hujui kusoma. Hapa tunawasiliana kwa maandishi.

Tutaelewana vipi?
 
Toa upumbavu wako. Wewe una nini zaidi ya uharo na upuuzi tu. Umepost nini cha maana. Toa ****** wako hapa.
 
Mnawapa umuhimu sana hawa akina Esopo.

Watu ambao hawachangii chochote kwenye pato la taifa kwa kuzalisha mali, kutoa huduma , au hata kutoa hoja zenye tija kwa ujenzi wa taifa; badala yake wamejigeuza kuwa wachekeshaji wa watawala bila soni wakijiita ‘chawa’ wanapaswa kupuuzwa bila kujali nafasi zao bandia kwenye jamii yetu.
 
Toa upumbavu wako. Wewe una nini zaidi ya uharo na upuuzi tu. Umepost nini cha maana. Toa ****** wako hapa.
You are not engaging the points I raised.

You are angrily pouting out ad hominem fallacies.

Inaonekana una matatizo fulani hivi ya kisaikolojia ambayo yanajionesha kwenye hasira zako, kwenye kushindwa kusoma kwa ufahamu kwako.

Inawezekana unapitia mambo fulani magumu maishani mwako au una matatizo ya IQ ndogo na uwezo wako wa kusoma, kutafakari, kuchambua hoja, ni mdogo sana.

Ndiyo maana unaishia kutukana tu.

Nakupeleka ignore list kwa sababu hujafikia viwango vya kujibizana na mimi.

Na mini sijisikii vizuri kujibizana na mtu ambaye inawezekana ana matatizo ya afya ya akili.

Kuanzia hapa sitaona unachoandika.
 
Back
Top Bottom