Sasa umeajiriwa huwezi kuwa na pesa Unatakiwa uwe tayari kutumikia mfumo Kwa kupata ujira vinginevyo ukienda kinyume na mfumo unadhalilika.Katika kupita pita huko kwenye mitandao ya kijamii nilikutana na clip ya chawa mmoja wa CCM akiwakebehi walimu wa vyuo vikuu nchini.
Inasadikiwa walikutana walimu wa vyuo vikuu mia moja ili kujadili juu ya kesi inayomkabili mwenzao wa Udom.
Michango ikapitishwa na kilichopatikana ni sh laki tano.
Chaww huyu anadhihaki walimu wa vyuo vikuu mia moja kuchanga laki tano tu.
Hii inaonyesha msomi na mtu muhimu kwenye taifa hili hana thamani mbele ya jamii. Ila CCM inawathamini machawa kwa udi na uvumba.
Huyo anayewadhihaki walimu wa vyuo,anajua vipato vyao kwa mwezi hadi aweke mawazoni mwake kwamba ni matajiri sana?Aache upumbavu wake.Anaongeaongea kama mtoto ndiyo maana tuhuma za ushoga zinamuandama kila siku.Katika kupita pita huko kwenye mitandao ya kijamii nilikutana na clip ya chawa mmoja wa CCM akiwakebehi walimu wa vyuo vikuu nchini.
Inasadikiwa walikutana walimu wa vyuo vikuu mia moja ili kujadili juu ya kesi inayomkabili mwenzao wa Udom.
Michango ikapitishwa na kilichopatikana ni sh laki tano.
Chaww huyu anadhihaki walimu wa vyuo vikuu mia moja kuchanga laki tano tu.
Hii inaonyesha msomi na mtu muhimu kwenye taifa hili hana thamani mbele ya jamii. Ila CCM inawathamini machawa kwa udi na uvumba.
Wenyewe wanajiita wafaya biashara lakini huwezi kuona biashara gani wanafanya.Katika kupita pita huko kwenye mitandao ya kijamii nilikutana na clip ya chawa mmoja wa CCM akiwakebehi walimu wa vyuo vikuu nchini.
Inasadikiwa walikutana walimu wa vyuo vikuu mia moja ili kujadili juu ya kesi inayomkabili mwenzao wa Udom.
Michango ikapitishwa na kilichopatikana ni sh laki tano.
Chaww huyu anadhihaki walimu wa vyuo vikuu mia moja kuchanga laki tano tu.
Hii inaonyesha msomi na mtu muhimu kwenye taifa hili hana thamani mbele ya jamii. Ila CCM inawathamini machawa kwa udi na uvumba.
nonsense 🐒Katika kupita pita huko kwenye mitandao ya kijamii nilikutana na clip ya chawa mmoja wa CCM akiwakebehi walimu wa vyuo vikuu nchini.
Inasadikiwa walikutana walimu wa vyuo vikuu mia moja ili kujadili juu ya kesi inayomkabili mwenzao wa Udom.
Michango ikapitishwa na kilichopatikana ni sh laki tano.
Chaww huyu anadhihaki walimu wa vyuo vikuu mia moja kuchanga laki tano tu.
Hii inaonyesha msomi na mtu muhimu kwenye taifa hili hana thamani mbele ya jamii. Ila CCM inawathamini machawa kwa udi na uvumba.
Mnawasema watu wachache kundi Dogo ktk Nchi hii waajiriwa hawafiki 3M mnaacha kundi la Maskini zaidi ya 35MUkweli usemwe aliye ajiriwa anaishi pay check to pay check
Hio ni ngumu kumeza
Lakini tano kwa watu 100 !!!! ????Katika kupita pita huko kwenye mitandao ya kijamii nilikutana na clip ya chawa mmoja wa CCM akiwakebehi walimu wa vyuo vikuu nchini.
Inasadikiwa walikutana walimu wa vyuo vikuu mia moja ili kujadili juu ya kesi inayomkabili mwenzao wa Udom.
Michango ikapitishwa na kilichopatikana ni sh laki tano.
Chaww huyu anadhihaki walimu wa vyuo vikuu mia moja kuchanga laki tano tu.
Hii inaonyesha msomi na mtu muhimu kwenye taifa hili hana thamani mbele ya jamii. Ila CCM inawathamini machawa kwa udi na uvumba.
Moyo wa utoaji haupo.Siku akiuugus asiombe michango. Nilishangaa Ruge alipougua michango ikaombwa. Tusichekane wa Tanzania ni maskini.
Ukiniuliza Vunja Bei anapata pesa wapi naweza kukwambia ila ukiniuliza Mwijaku anapata wapi hela mi sijui na wala sitaki kujuaSiku akiuugus asiombe michango. Nilishangaa Ruge alipougua michango ikaombwa. Tusichekane wa Tanzania ni maskini.
Na tunatunza kumbukumbu!Siku akiuugus asiombe michango. Nilishangaa Ruge alipougua michango ikaombwa. Tusichekane wa Tanzania ni maskini.
Wataanza kusema Watanzania tunanll Roho mbaya🤣🤣Na tunatunza kumbukumbu!
Zamu yake yaja; kulia kwa kupokezana