Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 6,788
- 16,227
Muamala unakuja na jina la mpesa, tigo pesa na pesa unaiona, kumbe hakuna muamala uliofanyika.Wanawamalizaje mawakala, sijaelewa nahitaji ufafanuzi
Me pia sijaelewa ila jenzii wanamsemo usipoelewa hata picha huoni?Wanawamalizaje mawakala, sijaelewa nahitaji ufafanuzi
ok.Magufuri alipokuwa anawanyima ajira vijana..Kuna wapuuzi walikuwa wakishangilia wakiwacheka wasomi wanavyohaha Na mji Sasa vijana wameamua kutumia taaluma Zako kutafuta riziki Zao....View attachment 3692781
Hakuna kitu kama hcho......apo lazima mteja alishika simu ya wakala na akasevu namba kwa jina la mpesa, au Airtel moneyMuamala unakuja na jina la mpesa, tigo pesa na pesa unaiona, kumbe hakuna muamala uliofanyika.
Bahati mbaya wakala haangalii jumla ya salio, yeye anaangalia ile pesa ya Muamala uliofanyika tuu hvy n rahisi kupigwa
Kama hujui kitu haina maana hakipo.Hakuna kitu kama hcho......apo lazima mteja alishika simu ya wakala na akasevu namba kwa jina la mpesa, au Airtel money
Siku wakikutapeli na ukaleta uzi wa malalamiko,Baraka zangu zote ziende kwa gen z. hakuna dhambi ya kutumia akili yako!.
Hata mimi nimewaza hivyo.Hakuna kitu kama hcho......apo lazima mteja alishika simu ya wakala na akasevu namba kwa jina la mpesa, au Airtel money
weee ndio hujui mzee usiseme hakuna kitu kama hicho.Hakuna kitu kama hcho......apo lazima mteja alishika simu ya wakala na akasevu namba kwa jina la mpesa, au Airtel money
Ila hujawaza n tangu lini wakala anampa simu mteja?Hata mimi nimewaza hivyo.
Hilo bado sijaliwaza 😂Ila hujawaza n tangu lini wakala anampa simu mteja?
Waza kwanza, jibu utalipata kwa kutumia akili ndogo tuuHilo bado sijaliwaza 😂
Ww ukienda kutoa pesa, wakala anakupa simu yake?Hakuna kitu kama hcho......apo lazima mteja alishika simu ya wakala na akasevu namba kwa jina la mpesa, au Airtel money