Wasomi wameamua kutumia taaluma zao kupata kipato, Mawakala tunateseka

Wasomi wameamua kutumia taaluma zao kupata kipato, Mawakala tunateseka

Hakuna kitu kama hcho......apo lazima mteja alishika simu ya wakala na akasevu namba kwa jina la mpesa, au Airtel money
We utalambwa mchana kweupe zile message zinakuja na jina la NIDA AU TANESCO ndo wanatumia program hio hio
Hata bulk messages za kawaida unaweza amua jina lije lipi
 
Huu uzi ulitakiwa useme serikali tunaomba tuajili tuliosoma IT hatuna ajira

 
namba ya lain ya wakala anaipata wapi?
Maana utapeli huanzia apo
Labda wale watengeneza lain za uwakala ndo wanavijana wao au wahudumu kutoka offisin ndo wanawatumia Hao vijan
 
Back
Top Bottom