Supapawa
JF-Expert Member
- Aug 29, 2026
- 1,076
- 2,690
Umeshaibiwa nini, mkuu?Waza kwanza, jibu utalipata kwa kutumia akili ndogo tuu
Umeshaibiwa nini, mkuu?Waza kwanza, jibu utalipata kwa kutumia akili ndogo tuu
Nmekuambia tumia akili ndogo tuu, ww ukienda kutoa pesa, wakala anakupa simu yake?Umeshaibiwa nini, mkuu?
Nimeshawaza mkuu. Nimekumbuka hajawahi kunipa simu yake hata mara Moja.Nmekuambia tumia akili ndogo tuu, ww ukienda kutoa pesa, wakala anakupa simu yake?
Sawa, uwe na mchana mwema bossNimeshawaza mkuu. Nimekumbuka hajawahi kunipa simu yake hata mara Moja.
Wewe jamaa kila uzi utakaoonesha kua na interest ya kisiasa upo😃😃😃
Mkuu naongea kwa uzoefu tena ule uzoefu konki.Kama hujui kitu haina maana hakipo.
Tumia akili za darasa la pili, wakala anampa vipi simu mteja? Tumia akili tuu za kawaida
Na ndo ipo hvyo na kuna kamchezo huwa anafanya kustuka ningumu hasa kama sio mzoefu na hyo michezo.....unampa simu anafanya yakeHata mimi nimewaza hivyo.
Magufuri alipokuwa anawanyima ajira vijana..Kuna wapuuzi walikuwa wakishangilia wakiwacheka wasomi wanavyohaha Na mji Sasa vijana wameamua kutumia taaluma Zako kutafuta riziki Zao....View attachment 3692781
ok.Wewe jamaa kila uzi utakaoonesha kua na interest ya kisiasa upo😃😃😃

Amen.Baraka zangu zote ziende kwa gen z. hakuna dhambi ya kutumia akili yako!.
Kuna siku ulienda kutoa pesa, wakala akakupa simu yake?Mkuu naongea kwa uzoefu tena ule uzoefu konki.
Unataka nikupe elimu wezi huwa wanafanyaje....kwenye huo wizi?
Mimi ntakuwa wa mwisho kuamini hilo....hakuna kitu kama hchoweee ndio hujui mzee usiseme hakuna kitu kama hicho.
nawez kukutukia sms na ikabebw jina lolote nitakalo..so ni umakini wa mpokeaji kujua fake na halisi ni ipi.
Huduma za bulk sms hizo nachagua jina lolote la Sender Id..
CRDK, SIMBANKING, M-PESA,....
Anasevu namba yake kwenye simu ya wakala kwa jina la 'AirtelMoney', kisha anamtumia SMS ya muamala.Na ndo ipo hvyo na kuna kamchezo huwa anafanya kustuka ningumu hasa kama sio mzoefu na hyo michezo.....unampa simu anafanya yake
Hajawahi kunipa, lakini hiyo haimaanishi kuwa wakala hata siku moja hajampa simu mteja.N mara ngapi umeenda kutoa pesa, wakala akakupa simu yake?
Anampa ili mteja afanye nini kwenye hiyo simu ya wakala?lakini hiyo haimaanishi kuwa wakala hata siku moja hajampa simu mteja.
kwanni usiwe wa mwisho na ndio uwezo wako wa kujua mambo ulipoishia... 🤣🤣🤣Mimi ntakuwa wa mwisho kuamini hilo....hakuna kitu kama hcho
Nimeshuhudia watu zaidi ya 5 wakiibiwa kwa njia hyo na wote simu zao waliwapa wateja kwa muda tofauti bila wao kujua.....na ikaseviwa hayo majina kwa utaalamu wa hali ya juu sana
Hujawahi kukuta wakala kamwachia mtoto wake wa shule ya msingi anafanya miamala?Anampa ili mteja afanye nini kwenye hiyo simu ya wakala?
Wanakwambia njoo kila kitu kipoHakuna kitu kama hcho......apo lazima mteja alishika simu ya wakala na akasevu namba kwa jina la mpesa, au Airtel money