Wasomi wameamua kutumia taaluma zao kupata kipato, Mawakala tunateseka

Kama hujui kitu haina maana hakipo.

Tumia akili za darasa la pili, wakala anampa vipi simu mteja? Tumia akili tuu za kawaida
Mkuu naongea kwa uzoefu tena ule uzoefu konki.

Unataka nikupe elimu wezi huwa wanafanyaje....kwenye huo wizi?
 
Mimi ntakuwa wa mwisho kuamini hilo....hakuna kitu kama hcho

Nimeshuhudia watu zaidi ya 5 wakiibiwa kwa njia hyo na wote simu zao waliwapa wateja kwa muda tofauti bila wao kujua.....na ikaseviwa hayo majina kwa utaalamu wa hali ya juu sana
 
kwanni usiwe wa mwisho na ndio uwezo wako wa kujua mambo ulipoishia... 🤣🤣🤣
 
Kaa kimya mjini
Hakuna kitu kama hcho......apo lazima mteja alishika simu ya wakala na akasevu namba kwa jina la mpesa, au Airtel money
Wanakwambia njoo kila kitu kipo
Kama watu wanaweza kutengeneza control number fake ,fedha za serikali zinaingia mifukoni mwao watashindwa kukupa mhamala fake?
 
Watu wa daslamu kwa matukio, haya kuna nini tena huko mjini?
Wengine tupo Nanjilinji huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…