Mm nmekuuliza kitu simple sana ila ww unarukaruka tuu, simu ya wakala, ww mteja unafanya nn nayo?Hujawahi kukuta wakala kamwachia mtoto wake wa shule ya msingi anafanya miamala?
Unabisha una uhakikaHakuna kitu kama hcho......apo lazima mteja alishika simu ya wakala na akasevu namba kwa jina la mpesa, au Airtel money
Hajui kitu huyo, hao ndo hua wanatapeliwa wanabaki kusema walipewa madawa 😂Kaa kimya mjini
Wanakwambia njoo kila kitu kipo
Kama watu wanaweza kutengeneza control number fake ,fedha za serikali zinaingia mifukoni mwao watashindwa kukupa mhamala fake?
Aaaamin🤝Baraka zangu zote ziende kwa gen z. hakuna dhambi ya kutumia akili yako!.
Ajui kitu alaf anabisha......kukaa kimya kungemsaidia kuficha upumbavu wakeHajui kitu huyo, hao ndo hua wanatapeliwa wanabaki kusema walipewa madawa 😂
Ipo hvi mkuu..Ww ukienda kutoa pesa, wakala anakupa simu yake?
Hiyo bado ni kizamani......saivi unapata mesaage ya Mpesa au Airtelmoney kabisa bila kushika sim yako.....uspokua makini kuangalia balance ushalambwaIpo hvi mkuu..
Kwanza mwizi hawi mmoja....lazima wawe zaid ya waili.
Kinachofanyika... Kwanza wanapima akili ya wakala, usiniulize wanapimaje.
Wakishajua hilo ndo wanasuka mipango....wanaenda kwa wakala wakiwa watatu au wanne ndani ya dkka 1 wote wanakuwa washafika kwa huyo wakala...wataomba huduma mbalimbali ukiwa busy kuwahudumia mmoja anaeweka atajifanya anaharaka sana au amesahau namba, sasa wakala anapotaka namba ya mteja ili amtumie pesa yule mteja anamwambia lete simu nikuandikie chap, wakala anampa akiamini password hazijui mteja.
Apo ndo game inachezwa ndani ya sekunde 30 sio dakika ni sekunde.
Jamaa anachofanya ni kukanseli menu... Na kusevu namba zake kwa majina ya mpesa, au tigopesa sana sana wanatumiaga mpesa au Airtel money na kuangalia balance la muamala wa mwisho wa wakala alioufanya....afu anarudi tena kwenye menu ya uwakala na kuweka namba yake anayotaka ipatiwe huduma.
Kumbuka ndani hzo sekunde 30 kuna jamaa wengine wanamkeep busy wakala.
Baada ya apo wanaondoka.....sasa anakuja mwengine kutoa pesa kwa kuifowadia msg ile namba iliseviwa mpesa au Airtel money.....kumbuka wezi wana final balance yako so kama ulikuwa na balance 100, 299 anaekuja kutoa anatoa 1,500,000 na balance wanaedit lisome 1,600,299.... Akitoa wakala anaangalia juu anaona mpesa akiangalia balance limeongezeka anatoa cash na apo ndo anakuea ametapeliwa.
Na atakuja kugundua adi atakapo taka kuitoa hyo pesa....anakuta balance halitoshi na apo kuja kugundua kama kuna namba iliseviwa adi akague vzuri simu yake.
Au ata ile habari ya juzi ya TANESCO kupigwa na wahuni hakusikia😂😂😂Hajui kitu huyo, hao ndo hua wanatapeliwa wanabaki kusema walipewa madawa 😂
Watu wajinga wajinga bado wapo, wanatapeliwa kifala sana wanabaki kusema ni madawa kumbe n ishu ndogo sana tuu 🤣Au ata ile habari ya juzi ya TANESCO kupigwa na wahuni hakusikia😂😂😂
Kama shirika la umma lenye kila kitu linatapeliwa
Wewe ni nani?
Kikubwa nilichojifunza usije kusema kuwa siwezi kutapeliwa ila we shukuru tu hujakutana na tapeli mwenye IQ kubwa kukuzidi
Kwa mfano, wakala mmoja alimuachia simu mtoto wake, mtoto wakati anafanya miamala aliambiwa na jamaa mmoja amampe simu amsaidie, mtoto alimpa kweli, je, katika mazingira hayo mtu hawezi kusave mamba yake kwenye simu ya wakala?Mm nmekuuliza kitu simple sana ila ww unarukaruka tuu, simu ya wakala, ww mteja unafanya nn nayo?
Kwahy wakala akimuachia simu mtoto ndo umeona n sababu ya msingi ya kunijibu?
Kwamba kuna uhusiano gn wa mtoto wa wakala na ww kupewa simu?
Kwamba wakala wote wanaoibiwa waliwapa simu watoto wao?
akili upewe alaf et kuitumia ni dhambi?😀Baraka zangu zote ziende kwa gen z. hakuna dhambi ya kutumia akili yako!.
Anasevu namba yake kwenye simu ya wakala kwa jina la 'AirtelMoney', kisha anamtumia SMS ya muamala.
Wakala Mbaga Jr laziama apigike tu 😂
Wewe unahakika gani huyo wakala kataoeliwa kwa mtindo huo. Hiyo story umeiamini vipi? Kama wewe ndiye wakala uliyeibiwa sema, la sivyo hizo ni story za sungura a fisi.Angalia wengi wanaotapeliwa, wanakimbilia kusema walipewa madawa kumbe walikuwa wabishi kama huyo jamaa na mwngn huyu hapa Supapawa
kwanni usiwe wa mwisho na ndio uwezo wako wa kujua mambo ulipoishia... 🤣🤣🤣
Na mara nyingi mtu akiibiwa kwa mtindo huo anaona aibu kusema ukweli, anabaki kusema amedukuliwa mara ohh! IT wameniibia.Na anaekuibia lazima akufanyie analysis ya akili yako.....hzo kesi nikiwa kazini nishawai kutana nazo sanaa na wengi wanaotapeliwa kwa njia hyo akili zao huwa zinafanana afu wanakuwa wabishi na wenge sana
Sasa kuna njia nyengine ya kubadilishiwa simu wakala....hyo ndo hatari zaidi unaibiwa simu na pesa zinatolewa zote na songesha juu afu wakala unachiwa screpa ya simu mbovu.
Nakubaliana na ww ni watu tu kutokua makini na kufanya kazi kimazoea ndo hupelekea kutapeliwaHakuna kitu kama hcho......apo lazima mteja alishika simu ya wakala na akasevu namba kwa jina la mpesa, au Airtel money
Nina uzoefu na ninacho kiongea.....shida mmekalilishana mambo hayapo hvyoUnabisha una uhakika
Usbishe kitu uschokijua
Na ataendelea kuwa wa mwisho 😂kwanni usiwe wa mwisho na ndio uwezo wako wa kujua mambo ulipoishia... 🤣🤣🤣