Wasomi wengi na wanaopenda elimu wanamuunga Tundu Lisu kugombea uenyekiti. Upande Ule wengi wao Elimu Yao ni tiamaji tiamaji.

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
Habari Wakuu!

Ukifuatilia kwa umakini uchaguzi huu. Utagundua Wasomi wengi na watu wanaopenda elimu wengi wao wanamuunga Mkono Tundu Antipas Lisu kuwa Mwenyekiti.

Hii ni tofauti na upande wa pili ambao wengi wao hata Elimu yao ni yamashaka, Elimu ya kuungaunga, huku wengine wakiwa wamekimbia shule na hawaamini katika shule.

CHADEMA zamani kidogo walikuwa wanasifika kwa kuwa na vijana wengi na Wasomi wengi.

Kwa kupenda Elimu, ndio wakaleta Ile Sera ya Elimu bure kuanzia shule ya msingi Mpaka Chuo kikuu ambayo baadaye CCM waliichukua wakafanya Elimu bure shule ya msingi Mpaka shule ya sekondari.

Sio ajabu wanachama wengi wa CHADEMA waliohamia kwenda CCM iwe Kwa kupenda kwao au kushinikizwa Elimu Zao zilikuwa za uhakika. CCM walifanya usajili muhimu kuchukua vijana wa CHADEMA na kuwatumia katika shughuli zao za kiserikali.

Mwenyekiti Mbowe ikiwa atashinda itampasa ajitafakari, ajitathmini kwa nini vijana Wasomi haswa, yaani vipanga na wenye fikra kubwa hawamsapoti yeye na badala yake walimsapoti Tundu Lisu

Huwezi kuzungukwa na Watu wenye upeo WA Kati au UPEO mdogo alafu wakati huohuo wenzako CCM wanavijana maelfu kwa maelfu ya Wasomi WA uhakika ambao wapo kuwatumia na kuwalinda kivyovyote.

CHADEMA ili iende mbele inahitaji watu. Lakini katika Safu ya juu lazima wawepo watu wenye akili kubwa na elimu ya kidunia isiyotia mashaka, au Elimu ya kudunduliza au kuungaunga.

Kisha inahitaji watu wenye misimamo mikali, wazalendo, Jasiri na ambao wapo kwaajili ya mabadiliko ya kweli.

Ukifuatilia hata huku mitandaoni, Wanaomuunga Mkono Lisu wanauwezo Mkubwa wa kiakili, kujenga hoja, na elimu zao sio za kuungaunga. Na wanapenda Elimu na mabadiliko chanya

Moja ya dalili ya mtu mwenye AKILI, UPEO na ELIMU ni kukubali mabadiliko chanya.

Karibuni kwa mjadala
 
haujakosea, ni Ukweli ulio wazi.
lengo la mbowe siyo mabadiliko ya kweli, bali anataka mission aliyotumwa na 'mabwana' zake ifanyike na ikamilike,
 
Ukiangalia kwa makini ni team zile zile zimekaa kilumumba lumumba.

Elimu zao huwa ziko hivyo
 
Kila mtu ana haki ya kuchagua upande wake, hii ndio demokrasia. Haijalishi kiwango cha elimu, demokrasia tu. Kama kila kitu kitafanyika kwa haki na usawa, CDM watakuwa wameonyesha maccm namna ya ku-exercise democracy.
 
Lakini kwa mtu Makini lazima ujiulize kwa nini Mimi kama kiongozi siungwi Mkono na Wasomi na watu wenye upeo Mkubwa.
Maana hao mawazo Yao ndio Yanaona mbele
 
Democracy ni kuchagua upande wowote unaotaka kuunga mkono. Si ajabu kuona wasomi wanampitisha darasa la saba awe kiongozi wao. Hawa wasomi ndio wanaosagia kunguni wasomi wenzao wasiwe viongozi.
 
Hakuna msomi Mmoja anayemsagia kunguni msomi mwingine asiwe kiongozi.au unazungumzia wale Elimu za tiamaji tiamaji.
 
Lakini kwa mtu Makini lazima ujiulize kwa nini Mimi kama kiongozi siungwi Mkono na Wasomi na watu wenye upeo Mkubwa.
Maana hao mawazo Yao ndio Yanaona mbele
Hizo ni hisia zako tu, hakuna proof yoyote kuonyesha haungwi mkono na wasomi.

Hata hivyo wasomi wengi wa nchi hii ni worse, waliofanikiwa wengi na wenye maono wengi wao ni waliofeli darasani.
 
Wazee wa kutaka mbowe ajitoe ili wakiteke chama kiulaini hilo halipo.
Sanduku.la kura wazee - mkipata kura walau 50 nyie vidume.
 
Hizo ni hisia zako tu, hakuna proof yoyote kuonyesha haungwi mkono na wasomi.

Mbowe haungwi Mkono na Wasomi wengi.
Mfano, wote waliojitokeza kumuunga Mkono Mbowe hadharani Elimu Zao ni ushahidi tosha.

Alafu linganisha na Wanaomuunga Mkono Lisu

Hata hivyo wasomi wengi wa nchi hii ni worse, waliofanikiwa wengi na wenye maono wengi wao ni waliofeli darasani.

Mtazamo wako upo kinyume Kabisa na Hali Halisi.

Tukija kwenye uhalisia, unafikiri ni Kwa nini maeneo yenye watu wengi waliosoma hapa nchi yameendelea kuliko ambayo hawana Elimu?
Alafu bado useme waliofeli shule wamefanikiwa kuliko waliofaulu.
 
Karibuni kwa mjadala
Pia kuna upande unaamini siasa ni kumsema vibaya mwenzako mitandaoni ikiwemo elimu yake, wakati upande mwingine upo kimya, wala haumshambulii mgombea mwingine kwa kejeli, bali upo diplomatic zaidi ukiheshimu sifa za elimu zilizobainishwa na katiba iliyotungwa na pande zote
 
Mbowe hatoboi Kura 300
Lisu atakuwa mbele kwa Kura nyingi Sana.

Subiri hapahapa utajionea
ukweli mchungu ni kwamba mbowe atashinda, tiss tangu miaka mingi imeweka mapandikizi wengi ndani ya chadema. mapandikizi watampigia kura mbowe,
 
Habari Wakuu!

Ukifuatilia kwa umakini uchaguzi huu. Utagundua Wasomi wengi na watu wanaopenda elimu wengi wao wanamuunga Mkono Tundu Antipas Lisu kuwa Mwenyekiti.

Hii ni tofauti na upande wa pili ambao wengi wao hata Elimu yao ni yamashaka, Elimu ya kuungaunga, huku wengine wakiwa wamekimbia shule na hawaamini katika shule.

CHADEMA zamani kidogo walikuwa wanasifika kwa kuwa na vijana wengi na Wasomi wengi.

Kwa kupenda Elimu, ndio wakaleta Ile Sera ya Elimu bure kuanzia shule ya msingi Mpaka Chuo kikuu ambayo baadaye CCM waliichukua wakafanya Elimu bure shule ya msingi Mpaka shule ya sekondari.

Sio ajabu wanachama wengi wa CHADEMA waliohamia kwenda CCM iwe Kwa kupenda kwao au kushinikizwa Elimu Zao zilikuwa za uhakika. CCM walifanya usajili muhimu kuchukua vijana wa CHADEMA na kuwatumia katika shughuli zao za kiserikali.

Mwenyekiti Mbowe ikiwa atashinda itampasa ajitafakari, ajitathmini kwa nini vijana Wasomi haswa, yaani vipanga na wenye fikra kubwa hawamsapoti yeye na badala yake walimsapoti Tundu Lisu

Huwezi kuzungukwa na Watu wenye upeo WA Kati au UPEO mdogo alafu wakati huohuo wenzako CCM wanavijana maelfu kwa maelfu ya Wasomi WA uhakika ambao wapo kuwatumia na kuwalinda kivyovyote.

CHADEMA ili iende mbele inahitaji watu. Lakini katika Safu ya juu lazima wawepo watu wenye akili kubwa na elimu ya kidunia isiyotia mashaka, au Elimu ya kudunduliza au kuungaunga.

Kisha inahitaji watu wenye misimamo mikali, wazalendo, Jasiri na ambao wapo kwaajili ya mabadiliko ya kweli.

Ukifuatilia hata huku mitandaoni, Wanaomuunga Mkono Lisu wanauwezo Mkubwa wa kiakili, kujenga hoja, na elimu zao sio za kuungaunga. Na wanapenda Elimu na mabadiliko chanya

Moja ya dalili ya mtu mwenye AKILI, UPEO na ELIMU ni kukubali mabadiliko chanya.

Karibuni kwa mjadala
Kwa hio wewe unaeandika andika hapa jf una akili zaidi na kusoma sana kuliko mtu alieongoza chama kilichokua hakijulikani kikasimama vizuri mpk leo

Dunia imebadilika elimu haipimwi kwa kua na vyeti siku hizi

Kwa akili zenu nyie zilivyo finyu mnawaza lisu ataweza mshinda Mbowe kweli?😀
 
Back
Top Bottom