Wasomi wote ambao tunapitia maisha magumu zawadi ya mwaka mpya wimbo - Nimelimiss Bumu

Wasomi wote ambao tunapitia maisha magumu zawadi ya mwaka mpya wimbo - Nimelimiss Bumu

Jack sauti yake imependezesha wimbo, beat limepoa Sana inabidi ufanyie mabadiliko.

Video location Beach Kidimbwi au wapi mtabe.
 
Mkuu umetisha. Jipaange utoke kwenye ubaharia uwe nahodha.

Beat naona kama first take, ikijaziwa jaziwa instruments una maudhui na harmonization nzuri.

Ila punguza gambe.

Asante sana kaka mkubwa...wazo lako nalifanyia kazi
 
Jack sauti yake imependezesha wimbo, beat limepoa Sana inabidi ufanyie mabadiliko.

Video location Beach Kidimbwi au wapi mtabe.

Video itakuwa movie ya mtabe.. humo ndani seke seke za maisha nyingi sana utaziona ambazo graduates aliekosa ajira ya maana anazipitia
 
Jack sauti yake imependezesha wimbo, beat limepoa Sana inabidi ufanyie mabadiliko.

Video location Beach Kidimbwi au wapi mtabe.

Jack ni muimba kwaya mzuri sana kanisani.. na yeye ni mtabe wa kike pia anapitia changamoto za ugumu wa maisha kama wengine
 
"Serikali tumejianda kutoa ajira zaidi ya milion nane"

Au Hilo nalo ndugu zangu nakosea?
 
Baada ya ku graduate sua Kama mnavyojua manzese Hakuna mashamba so nilianza kukaba watu

Au walokole nilikosea
 
Back
Top Bottom