Wasomi wote ambao tunapitia maisha magumu zawadi ya mwaka mpya wimbo - Nimelimiss Bumu

Wasomi wote ambao tunapitia maisha magumu zawadi ya mwaka mpya wimbo - Nimelimiss Bumu

Mkuu umetisha. Jipaange utoke kwenye ubaharia uwe nahodha.

Beat naona kama first take, ikijaziwa jaziwa instruments una maudhui na harmonization nzuri.

Ila punguza gambe.


Mabadiliko imeshafanyika. Kuna jamaa aliiomba akaiwekee biti mpya kwenye studio yake
 
Nimeukumbuka wimbo wangu wa mwaka nalimiss bumu. Inabidi remix itoke maana tozo zimeongeza ugumu wa maisha zaidi. Bumu nalimiss zaidi
 
Back
Top Bottom