Wasomi wote ambao tunapitia maisha magumu zawadi ya mwaka mpya wimbo - Nimelimiss Bumu

Sie ambao hatukusoma kwa bumu tulishazoea msoto tangu tupo skul. #Tumesoma kinyonge_tunaishi kinyonge

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app

Wimbo umeeleza mengi ambayo vijana watafutaji wanapitia.. hata kama hukupata bumu kuna mengi yametajwa unayapitia mtaani
 
Jack sauti yake imependezesha wimbo, beat limepoa Sana inabidi ufanyie mabadiliko.

Video location Beach Kidimbwi au wapi mtabe.
 
Mkuu umetisha. Jipaange utoke kwenye ubaharia uwe nahodha.

Beat naona kama first take, ikijaziwa jaziwa instruments una maudhui na harmonization nzuri.

Ila punguza gambe.

Asante sana kaka mkubwa...wazo lako nalifanyia kazi
 
Jack sauti yake imependezesha wimbo, beat limepoa Sana inabidi ufanyie mabadiliko.

Video location Beach Kidimbwi au wapi mtabe.

Video itakuwa movie ya mtabe.. humo ndani seke seke za maisha nyingi sana utaziona ambazo graduates aliekosa ajira ya maana anazipitia
 
Jack sauti yake imependezesha wimbo, beat limepoa Sana inabidi ufanyie mabadiliko.

Video location Beach Kidimbwi au wapi mtabe.

Jack ni muimba kwaya mzuri sana kanisani.. na yeye ni mtabe wa kike pia anapitia changamoto za ugumu wa maisha kama wengine
 
"Serikali tumejianda kutoa ajira zaidi ya milion nane"

Au Hilo nalo ndugu zangu nakosea?
 
Baada ya ku graduate sua Kama mnavyojua manzese Hakuna mashamba so nilianza kukaba watu

Au walokole nilikosea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…