F FRESHMAN JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 9,137 Reaction score 34,793 Jan 2, 2021 Thread starter #21 Kunguru wa Manzese said: Baada ya ku graduate sua Kama mnavyojua manzese Hakuna mashamba so nilianza kukaba watu Au walokole nilikosea Click to expand... Ulikosea sana... watabe tunalima matikiti na kutafuta vipato halali...sikiliza wimbo
Kunguru wa Manzese said: Baada ya ku graduate sua Kama mnavyojua manzese Hakuna mashamba so nilianza kukaba watu Au walokole nilikosea Click to expand... Ulikosea sana... watabe tunalima matikiti na kutafuta vipato halali...sikiliza wimbo
F FRESHMAN JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 9,137 Reaction score 34,793 Jan 2, 2021 Thread starter #22 Grim Langdon said: 👉Bila kumsahau P-square (BRING IT ON)👊 Click to expand... Mbona hunijibu kuhusu huyo bila kumsahau p square ni nani?
Grim Langdon said: 👉Bila kumsahau P-square (BRING IT ON)👊 Click to expand... Mbona hunijibu kuhusu huyo bila kumsahau p square ni nani?
F FRESHMAN JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 9,137 Reaction score 34,793 Sep 2, 2022 Thread starter #23 Offshore Seamen said: Jack sauti yake imependezesha wimbo, beat limepoa Sana inabidi ufanyie mabadiliko. Video location Beach Kidimbwi au wapi mtabe. Click to expand... Mabadiliko imeshafanyika. Kuna jamaa aliiomba akaiwekee biti mpya kwenye studio yake
Offshore Seamen said: Jack sauti yake imependezesha wimbo, beat limepoa Sana inabidi ufanyie mabadiliko. Video location Beach Kidimbwi au wapi mtabe. Click to expand... Mabadiliko imeshafanyika. Kuna jamaa aliiomba akaiwekee biti mpya kwenye studio yake
F FRESHMAN JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 9,137 Reaction score 34,793 Sep 2, 2022 Thread starter #24 Kiranga said: Mkuu umetisha. Jipaange utoke kwenye ubaharia uwe nahodha. Beat naona kama first take, ikijaziwa jaziwa instruments una maudhui na harmonization nzuri. Ila punguza gambe. Click to expand... Mabadiliko imeshafanyika. Kuna jamaa aliiomba akaiwekee biti mpya kwenye studio yake
Kiranga said: Mkuu umetisha. Jipaange utoke kwenye ubaharia uwe nahodha. Beat naona kama first take, ikijaziwa jaziwa instruments una maudhui na harmonization nzuri. Ila punguza gambe. Click to expand... Mabadiliko imeshafanyika. Kuna jamaa aliiomba akaiwekee biti mpya kwenye studio yake
F FRESHMAN JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 9,137 Reaction score 34,793 Sep 2, 2022 Thread starter #25 Nimeukumbuka wimbo wangu wa mwaka nalimiss bumu. Inabidi remix itoke maana tozo zimeongeza ugumu wa maisha zaidi. Bumu nalimiss zaidi
Nimeukumbuka wimbo wangu wa mwaka nalimiss bumu. Inabidi remix itoke maana tozo zimeongeza ugumu wa maisha zaidi. Bumu nalimiss zaidi