Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Uchi wakeWASIRA AIHAKIKISHIA MAREKANI UCHAGUZI KUWA HURU NA HAKI
Na Mwandishi Wetu
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Stephen Wasira amesema kipaumbele cha Chama wakati wote ni kuhakikisha nchi inakuwa na amani.
Pia, ameihakikishia kuwa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadae mwaka huu, utakuwa huru na wa haki.
Ndg. Wasira amesema hayo leo Februari 20, 2025 alipozungumza na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Ndugu Andrew Lentz, aliyemtembea ofisi kwake katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam.
Makamu Mwenyekiti Wasira alimweleza kaimu balozi huyo kwamba, Tanzania ni taifa linaloendelea, hivyo amani ya nchi haiwezi kuwekwa rehani.
Katika mazungumzo yao, wawili hao walizungumzia uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika nchini baadaye mwaka huu, ambapo Wasira alimhakikishia Lentz kwamba utafanyika kwa uhuru na haki.
Alimwambia Chama Cha Mapinduzi kinaendelea kujiandaa kushiriki uchaguzi huo na kinatarajia kushinda kwa sababu kimetekeleza ahadi za maendeleo zilizopo katika Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025.
Kuhusu swali la Kaimu Balozi Lentz kwamba je, CCM ipo tayari kuzungumza na vyama vya upinzani, Wasira alisema ipo tayari na ndiyo msingi wa falsafa ya R4 ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Wasira alisema kuwa, R4 zinasisitiza mazungumzo pale ambapo kuna kutofautiana kimisimamo baina ya vyama.
View attachment 3243094View attachment 3243095View attachment 3243096
Lisu eti hawezi kuzungumza na Wasira!Tunataka Tume HURU na sio utashi wa huyu Babu wa Kishashi.
WASIRA AIHAKIKISHIA MAREKANI UCHAGUZI KUWA HURU NA HAKI
Na Mwandishi Wetu
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Stephen Wasira amesema kipaumbele cha Chama wakati wote ni kuhakikisha nchi inakuwa na amani.
Pia, ameihakikishia kuwa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadae mwaka huu, utakuwa huru na wa haki.
Ndg. Wasira amesema hayo leo Februari 20, 2025 alipozungumza na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Ndugu Andrew Lentz, aliyemtembea ofisi kwake katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam.
Makamu Mwenyekiti Wasira alimweleza kaimu balozi huyo kwamba, Tanzania ni taifa linaloendelea, hivyo amani ya nchi haiwezi kuwekwa rehani.
Katika mazungumzo yao, wawili hao walizungumzia uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika nchini baadaye mwaka huu, ambapo Wasira alimhakikishia Lentz kwamba utafanyika kwa uhuru na haki.
Alimwambia Chama Cha Mapinduzi kinaendelea kujiandaa kushiriki uchaguzi huo na kinatarajia kushinda kwa sababu kimetekeleza ahadi za maendeleo zilizopo katika Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025.
Kuhusu swali la Kaimu Balozi Lentz kwamba je, CCM ipo tayari kuzungumza na vyama vya upinzani, Wasira alisema ipo tayari na ndiyo msingi wa falsafa ya R4 ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Wasira alisema kuwa, R4 zinasisitiza mazungumzo pale ambapo kuna kutofautiana kimisimamo baina ya vyama.
View attachment 3243094View attachment 3243095View attachment 3243096
Mzee bado yupo fiti sana !Nimeupenda mkao wa Wasira pamoja na hzo boots zake mguuni
Kinachochekesha, Kaimu Balozi wa Marekani anaenda kuongea na Mwamba Kabisa Mzee Wassira, halafu mtu mdogo kama Lissu anajitutumua eti HAWEZI kuongea na Mwamba Kabisa Mzee Wassira! Ahahahahaha!!!WASIRA AIHAKIKISHIA MAREKANI UCHAGUZI KUWA HURU NA HAKI
Na Mwandishi Wetu
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Stephen Wasira amesema kipaumbele cha Chama wakati wote ni kuhakikisha nchi inakuwa na amani.
Pia, ameihakikishia kuwa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadae mwaka huu, utakuwa huru na wa haki.
Ndg. Wasira amesema hayo leo Februari 20, 2025 alipozungumza na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Ndugu Andrew Lentz, aliyemtembea ofisi kwake katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam.
Makamu Mwenyekiti Wasira alimweleza kaimu balozi huyo kwamba, Tanzania ni taifa linaloendelea, hivyo amani ya nchi haiwezi kuwekwa rehani.
Katika mazungumzo yao, wawili hao walizungumzia uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika nchini baadaye mwaka huu, ambapo Wasira alimhakikishia Lentz kwamba utafanyika kwa uhuru na haki.
Alimwambia Chama Cha Mapinduzi kinaendelea kujiandaa kushiriki uchaguzi huo na kinatarajia kushinda kwa sababu kimetekeleza ahadi za maendeleo zilizopo katika Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025.
Kuhusu swali la Kaimu Balozi Lentz kwamba je, CCM ipo tayari kuzungumza na vyama vya upinzani, Wasira alisema ipo tayari na ndiyo msingi wa falsafa ya R4 ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Wasira alisema kuwa, R4 zinasisitiza mazungumzo pale ambapo kuna kutofautiana kimisimamo baina ya vyama.
View attachment 3243094View attachment 3243095View attachment 3243096
Mhuni ni Lissu. Alikuwa anaropoka sana alipokuwa Makamu Mwenyekiti. Sasa hivi kawa Mwenyekiti anashindwa amropokee nani! Na anaonekana amemiss sana kuropoka! Ahahahahaha!!Mzee wasira ni mrefu ila kwanini kavaa buti ndefu vile, huyu mzee mhuni ππππ
A,, anajua anaongea uo,, ongo na mwenzie anajua kila kitu just tu kutaka kuweka reference. CCM hawawezi hata siku moja kuruhusu ufanyike uchaguzi huru na wa haki,, ndiyo maana wako tayari kufanya lolote lile kuhakikisha wanabaki madarakani kwa na mapoyoyo yanashabikia kwakuwa wanatupiwa vijisenti kipindi kama hiki. Mimi wala safari sijisumbui kwende kupoteza muda wangu kwenye mambo ya kipuuzi wao tayari wameshampitisha raisi wala kusiwe tena na uchaguzi bali mama mitano tena halafu mitano tensWASIRA AIHAKIKISHIA MAREKANI UCHAGUZI KUWA HURU NA HAKI
Na Mwandishi Wetu
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Stephen Wasira amesema kipaumbele cha Chama wakati wote ni kuhakikisha nchi inakuwa na amani.
Pia, ameihakikishia kuwa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadae mwaka huu, utakuwa huru na wa haki.
Ndg. Wasira amesema hayo leo Februari 20, 2025 alipozungumza na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Ndugu Andrew Lentz, aliyemtembea ofisi kwake katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam.
Makamu Mwenyekiti Wasira alimweleza kaimu balozi huyo kwamba, Tanzania ni taifa linaloendelea, hivyo amani ya nchi haiwezi kuwekwa rehani.
Katika mazungumzo yao, wawili hao walizungumzia uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika nchini baadaye mwaka huu, ambapo Wasira alimhakikishia Lentz kwamba utafanyika kwa uhuru na haki.
Alimwambia Chama Cha Mapinduzi kinaendelea kujiandaa kushiriki uchaguzi huo na kinatarajia kushinda kwa sababu kimetekeleza ahadi za maendeleo zilizopo katika Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025.
Kuhusu swali la Kaimu Balozi Lentz kwamba je, CCM ipo tayari kuzungumza na vyama vya upinzani, Wasira alisema ipo tayari na ndiyo msingi wa falsafa ya R4 ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Wasira alisema kuwa, R4 zinasisitiza mazungumzo pale ambapo kuna kutofautiana kimisimamo baina ya vyama.
View attachment 3243094View attachment 3243095View attachment 3243096
Huyu mzee anamzidi swagger Lucas Mwasambwanda...ndio mana alilamba u vice-chairmanMzee wasira ni mrefu ila kwanini kavaa buti ndefu vile, huyu mzee mhuni ππππ
Hahaha kweli angalia ndula aloweka mguuni ahahahaha hahahahaHuyu mzee anamzidi swagger Lucas Mwasambwanda...ndio mana alilamba u vice-chairman
Angalia kiatu alichovaa babu yako ππππππMhuni ni Lissu. Alikuwa anaropoka sana alipokuwa Makamu Mwenyekiti. Sasa hivi kawa Mwenyekiti anashindwa amropokee nani! Na anaonekana amemiss sana kuropoka! Ahahahahaha!!
Mshindani anahakikisha kwamba uchaguzi utakuwa huru na wa haki!? Kwanini isiwe Tume ya Uchaguzi!? Au CCM ndo tume yenyewe?WASIRA AIHAKIKISHIA MAREKANI UCHAGUZI KUWA HURU NA HAKI
Na Mwandishi Wetu
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Stephen Wasira amesema kipaumbele cha Chama wakati wote ni kuhakikisha nchi inakuwa na amani.
Pia, ameihakikishia kuwa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadae mwaka huu, utakuwa huru na wa haki.
Ndg. Wasira amesema hayo leo Februari 20, 2025 alipozungumza na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Ndugu Andrew Lentz, aliyemtembea ofisi kwake katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam.
Makamu Mwenyekiti Wasira alimweleza kaimu balozi huyo kwamba, Tanzania ni taifa linaloendelea, hivyo amani ya nchi haiwezi kuwekwa rehani.
Katika mazungumzo yao, wawili hao walizungumzia uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika nchini baadaye mwaka huu, ambapo Wasira alimhakikishia Lentz kwamba utafanyika kwa uhuru na haki.
Alimwambia Chama Cha Mapinduzi kinaendelea kujiandaa kushiriki uchaguzi huo na kinatarajia kushinda kwa sababu kimetekeleza ahadi za maendeleo zilizopo katika Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025.
Kuhusu swali la Kaimu Balozi Lentz kwamba je, CCM ipo tayari kuzungumza na vyama vya upinzani, Wasira alisema ipo tayari na ndiyo msingi wa falsafa ya R4 ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Wasira alisema kuwa, R4 zinasisitiza mazungumzo pale ambapo kuna kutofautiana kimisimamo baina ya vyama.
View attachment 3243094View attachment 3243095View attachment 3243096
Yeyote anayeamini kuwa uchaguzi utakuwa huru na wa haki kwa katiba na utaratibu wa sasa,, ni ng'ombe tu. Anaweza kuwa Tanzanian ng'ombe au american ng'ombe.WASIRA AIHAKIKISHIA MAREKANI UCHAGUZI KUWA HURU NA HAKI