Pre GE2025 Wassira aihakikishia Marekani uchaguzi kuwa huru na haki

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Anayeongea ni makamu mwenyekiti wa chama kitakachogombea,amejuaje kuwa utakuwa huru na haki? Na je tanzania inaihakikishia marekani kuwa uchaguzi utakuwa huru na haki,je marekani ni nani mpaka ahakikishiwe? Je hamuwezi kujisimamia?
Anayeongea ni makamu mwenyekiti wa chama tawala ambacho kina wajibu wa kuisimamia serikali kutenda haki kwa wananchi wake wote bila kujali tofauti za vyama vyao!.
 
Ikiwa jambo liko hivyo hata akizungumza na mhe Rais hamna faida yoyote kwahiyo aniandae kwenda kulala barabarani tu kwakuwa hamna nyingine otherwise kama anataka na yeye kupewa asali ya ikulu kama anavyoamini kuwa chairman mstaafu alilamba asali ikulu kupitia Abdul ajaribu saa nyingine yeye anaweza kuwa mpinzani wa kwanza kulamba asali ikulu.
 
Anayeongea ni makamu mwenyekiti wa chama tawala ambacho kina wajibu wa kuisimamia serikali kutenda haki kwa wananchi wake wote bila kujali tofauti za vyama vyao!.
umeishia njiani kujibu maswali yangu mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…