Mwanasiasa mtata
JF-Expert Member
- Oct 25, 2022
- 1,520
- 3,781
Swali la kitoto na ina maana huijui asili yako. Sisi sio wa kwanza kuungana na hatutakuwa wa kwanza kutengana. Urusi baada ya kuvunjika kila nchi ililudi ktk jina la asili yakeHakuna nchi inaitwa Tanzania bara tuna nchi inaitwa Tanzania. Muungano ukivunjika hatuna tutakachobaki nacho,kwa sababu zanzibar na Tanganyika ndiyo iliyozalisha Tanzania na kuuwa Tanganyika,lakini Zanzibar imeendelea kusimama imara mpk kesho. Tuna rais wa JMT na Zanzibar wana rais wa serikali ya mapinduzi,sisi marehemu Tanganyika hatuna rais,tumejificha kwenye kwapa la Muungano.
Very good.Katiba ni kwa mujibu wa maoni ya wananchi siyo CCM
Asante kwa majibu ya kifedhuli,walipoungana states zao zilibaki kama states na kuunda Muungano wa kishoshalist. States zile hazikufa kifo cha Tanganyika, ziliendelea kuwa na power na kufanya shughuli zake kama kawaida chini ya Muungano. Hii ya kwenu haipo imekufa,ndiyo maana mnakimbilia kusema Tanzania bara,kwa mamlaka ipi kisheria?Swali la kitoto na ina maana huijui asili yako. Sisi sio wa kwanza kuungana na hatutakuwa wa kwanza kutengana. Urusi baada ya kuvunjika kila nchi ililudi ktk jina la asili yake
Kama ataishi milele vileWassira amemwambia Zitto Kabwe kwamba Ukitaka Serikali 3 ujue hakuna Katiba Mpya itakayopatikana.
Kwasabau ulikuwa muungano wa nchi mbilo zinazojulikana kama Tanganyika na Zanzibar na mtoto akazaliwa na kuitwa Tanzania. Mtoto akifa na wazazi kutengana, mama atabaki na jina lake na baba vilevile atabaki na jina lake au tunaweza tukajiita jina lolote lile litakalotupendeza mfano BongolandAsante kwa majibu ya kifedhuli,walipoungana states zao zilibaki kama states na kuunda Muungano wa kishoshalist. States zile hazikufa kifo cha Tanganyika, ziliendelea kuwa na power na kufanya shughuli zake kama kawaida chini ya Muungano. Hii ya kwenu haipo imekufa,ndiyo maana mnakimbilia kusema Tanzania bara,kwa mamlaka ipi kisheria?
Na huo ndio ukweli !!Swali la kitoto na ina maana huijui asili yako. Sisi sio wa kwanza kuungana na hatutakuwa wa kwanza kutengana. Urusi baada ya kuvunjika kila nchi ililudi ktk jina la asili yake
Tanganyika ukitaka kuongezea jina unaweka na Territory !! 😅 ! Hivyo ndivyo tukijulikana zamani za kale !! Ramani itabaki vile vile ilivyokuwa kabla ya Muungano !! Ila hatutaki muungano ukavunjika !!Hakuna nch
Hakuna nchi inaitwa Tanzania bara,tuna nchi inaitwa Tanzania. Nchi ya Tanganyika iliuwawa na Muungano wa nchi ya Zanzibar. Leo Muungano ukifa hatuna nchi,sijajua tutasimamia wapi,na hakuna aliyewahi kuuliza hivi Muungano ukifa sisi tutabaki na nini?
Historia inapotoshwa,hakuna Muungano wa kulazimishana, Muungano ulikuwa wa makubaliano kwa mkataba wa miaka 10. Kwao kwa kuwa wamezoea vya kunyonga Muungano ubaki kuwa fumbo la imani. Zanzibar imebadilika katiba kama nchi,inataka itambulike hivyo kuwa na mamlaka kamili ndani ya Muungano. Wamevunja katiba ya JMT inayoitambua Zanzibar kama sehemu ya Muungano siyo nchi yenye mamlaka kamili. Katiba ya JMT inasema kutakuwa na nchi mmoja yenye serikali mbili,lakini leo tuna nchi mbili zenye serikali mbili,shida hii iko ndani ya CCM wenyewe,CCM ya Zanzibar haikubakiana na CCM ya bara kutokuwa nchi yenye mamalaka yake kamili.Tanganyika ukitaka kuongezea jina unaweka na Territory !! 😅 ! Hivyo ndivyo tukijulikana zamani za kale !! Ramani itabaki vile vile ilivyokuwa kabla ya Muungano !! Ila hatutaki muungano ukavunjika !!
Hilo fumbo la imani ndugu yangu Tanganyika inakuwa jiwe lililo washinda washi. Mkataa kwa mtumwa,laana inayotutafuna ni kuikata asili yetu ya Utanganyika, kimantiki na misemo ya wahenga sisi ni watumwa tulioukana Utanganyika wetu.Kwasabau ulikuwa muungano wa nchi mbilo zinazojulikana kama Tanganyika na Zanzibar na mtoto akazaliwa na kuitwa Tanzania. Mtoto akifa na wazazi kutengana, mama atabaki na jina lake na baba vilevile atabaki na jina lake au tunaweza tukajiita jina lolote lile litakalotupendeza mfano Bongoland
Ukweli ndiyo huoHilo fumbo la imani ndugu yangu Tanganyika inakuwa jiwe lililo washinda washi. Mkataa kwa mtumwa,laana inayotutafuna ni kuikata asili yetu ya Utanganyika, kimantiki na misemo ya wahenga sisi ni watumwa tulioukana Utanganyika wetu.
Ndio maana wengine tukauliza je Ccm ya Zanzibar inaafiki Maneno ya Mzee wa Ccm kutoka Bara kwamba ndio msimamo wao wa Chama ??!!Historia inapotoshwa,hakuna Muungano wa kulazimishana, Muungano ulikuwa wa makubaliano kwa mkataba wa miaka 10. Kwao kwa kuwa wamezoea vya kunyonga Muungano ubaki kuwa fumbo la imani. Zanzibar imebadilika katiba kama nchi,inataka itambulike hivyo kuwa na mamlaka kamili ndani ya Muungano. Wamevunja katiba ya JMT inayoitambua Zanzibar kama sehemu ya Muungano siyo nchi yenye mamlaka kamili. Katiba ya JMT inasema kutakuwa na nchi mmoja yenye serikali mbili,lakini leo tuna nchi mbili zenye serikali mbili,shida hii iko ndani ya CCM wenyewe,CCM ya Zanzibar haikubakiana na CCM ya bara kutokuwa nchi yenye mamalaka yake kamili.
Tanganyika ilikufa 1964Asante kwa majibu ya kifedhuli,walipoungana states zao zilibaki kama states na kuunda Muungano wa kishoshalist. States zile hazikufa kifo cha Tanganyika, ziliendelea kuwa na power na kufanya shughuli zake kama kawaida chini ya Muungano. Hii ya kwenu haipo imekufa,ndiyo maana mnakimbilia kusema Tanzania bara,kwa mamlaka ipi kisheria?
Mwambie huyo Wasira aliyenogewa na mwonjo wa asali kiasi kwamba anakuwa kipofu kwamba asitegemee kuikuta Zanzibar ikimngoja kuungana nayo.Mzee Wassira kupitia mahojiano maalum yaliyofanywa na TBC yakimuhusisha pia Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amesema Sera ya CCM kuhusu muundo wa Serikali haitabadilika.
Wassira amemwambia Zitto Kabwe kwamba Ukitaka Serikali 3 ujue hakuna Katiba Mpya itakayopatikana.
Ukweli Mchungu!
Ninakubaliana na wewe, pamoja na kwamba umetumia lugha ngumu kuwasilisha ujumbe.Kumammake Tanganyika Ife na Zanzibar Ife hapa tubaki na serikali 1 kama hawataki 3 wanalazimisha ujinga uliofeli miaka lukuki au 2 tubaki na Tanganyika na Zanzibar ibaki kivyake hapo hakuna lawama
Njia itapatikana tu huko baadaeKwenda kwenye serikali moja ni kuuwa nchi moja jambo ambolo hakuna upande utakaokubali
If it is true that wassira said so, I can definitely sniff the fulfilment of the proverb " absolute power corrupts absolutely". Who is wassira by the way, to immorally refute the will of the people in case they want a three governments union?Mzee Wassira kupitia mahojiano maalum yaliyofanywa na TBC yakimuhusisha pia Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amesema Sera ya CCM kuhusu muundo wa Serikali haitabadilika.
Wassira amemwambia Zitto Kabwe kwamba Ukitaka Serikali 3 ujue hakuna Katiba Mpya itakayopatikana.
Ukweli Mchungu!