Wassira: Ieleweke wazi tunapoandika Katiba Mpya Sera ya CCM ni Serikali 2 kuelekea 1 na Siyo vinginevyo

Hakuna nchi inaitwa Tanzania bara tuna nchi inaitwa Tanzania. Muungano ukivunjika hatuna tutakachobaki nacho,kwa sababu zanzibar na Tanganyika ndiyo iliyozalisha Tanzania na kuuwa Tanganyika,lakini Zanzibar imeendelea kusimama imara mpk kesho. Tuna rais wa JMT na Zanzibar wana rais wa serikali ya mapinduzi,sisi marehemu Tanganyika hatuna rais,tumejificha kwenye kwapa la Muungano.
Swali la kitoto na ina maana huijui asili yako. Sisi sio wa kwanza kuungana na hatutakuwa wa kwanza kutengana. Urusi baada ya kuvunjika kila nchi ililudi ktk jina la asili yake
 
Asante kwa majibu ya kifedhuli,walipoungana states zao zilibaki kama states na kuunda Muungano wa kishoshalist. States zile hazikufa kifo cha Tanganyika, ziliendelea kuwa na power na kufanya shughuli zake kama kawaida chini ya Muungano. Hii ya kwenu haipo imekufa,ndiyo maana mnakimbilia kusema Tanzania bara,kwa mamlaka ipi kisheria?
 
Kwasabau ulikuwa muungano wa nchi mbilo zinazojulikana kama Tanganyika na Zanzibar na mtoto akazaliwa na kuitwa Tanzania. Mtoto akifa na wazazi kutengana, mama atabaki na jina lake na baba vilevile atabaki na jina lake au tunaweza tukajiita jina lolote lile litakalotupendeza mfano Bongoland
 
Hakuna nch

Hakuna nchi inaitwa Tanzania bara,tuna nchi inaitwa Tanzania. Nchi ya Tanganyika iliuwawa na Muungano wa nchi ya Zanzibar. Leo Muungano ukifa hatuna nchi,sijajua tutasimamia wapi,na hakuna aliyewahi kuuliza hivi Muungano ukifa sisi tutabaki na nini?
Tanganyika ukitaka kuongezea jina unaweka na Territory !! 😅 ! Hivyo ndivyo tukijulikana zamani za kale !! Ramani itabaki vile vile ilivyokuwa kabla ya Muungano !! Ila hatutaki muungano ukavunjika !!
 
Historia inapotoshwa,hakuna Muungano wa kulazimishana, Muungano ulikuwa wa makubaliano kwa mkataba wa miaka 10. Kwao kwa kuwa wamezoea vya kunyonga Muungano ubaki kuwa fumbo la imani. Zanzibar imebadilika katiba kama nchi,inataka itambulike hivyo kuwa na mamlaka kamili ndani ya Muungano. Wamevunja katiba ya JMT inayoitambua Zanzibar kama sehemu ya Muungano siyo nchi yenye mamlaka kamili. Katiba ya JMT inasema kutakuwa na nchi mmoja yenye serikali mbili,lakini leo tuna nchi mbili zenye serikali mbili,shida hii iko ndani ya CCM wenyewe,CCM ya Zanzibar haikubakiana na CCM ya bara kutokuwa nchi yenye mamalaka yake kamili.
 
Kwasabau ulikuwa muungano wa nchi mbilo zinazojulikana kama Tanganyika na Zanzibar na mtoto akazaliwa na kuitwa Tanzania. Mtoto akifa na wazazi kutengana, mama atabaki na jina lake na baba vilevile atabaki na jina lake au tunaweza tukajiita jina lolote lile litakalotupendeza mfano Bongoland
Hilo fumbo la imani ndugu yangu Tanganyika inakuwa jiwe lililo washinda washi. Mkataa kwa mtumwa,laana inayotutafuna ni kuikata asili yetu ya Utanganyika, kimantiki na misemo ya wahenga sisi ni watumwa tulioukana Utanganyika wetu.
 
Ukweli ndiyo huo
 
Historia inapotoshwa,hakuna Muungano wa kulazimishana, Muungano ulikuwa wa makubaliano kwa mkataba wa miaka 10. Kwao kwa kuwa wamezoea vya kunyonga Muungano ubaki kuwa fumbo la imani. Zanzibar imebadilika katiba kama nchi,inataka itambulike hivyo kuwa na mamlaka kamili ndani ya Muungano. Wamevunja katiba ya JMT inayoitambua Zanzibar kama sehemu ya Muungano siyo nchi yenye mamlaka kamili. Katiba ya JMT inasema kutakuwa na nchi mmoja yenye serikali mbili,lakini leo tuna nchi mbili zenye serikali mbili,shida hii iko ndani ya CCM wenyewe,CCM ya Zanzibar haikubakiana na CCM ya bara kutokuwa nchi yenye mamalaka yake kamili.
Ndio maana wengine tukauliza je Ccm ya Zanzibar inaafiki Maneno ya Mzee wa Ccm kutoka Bara kwamba ndio msimamo wao wa Chama ??!!
 
Asante kwa majibu ya kifedhuli,walipoungana states zao zilibaki kama states na kuunda Muungano wa kishoshalist. States zile hazikufa kifo cha Tanganyika, ziliendelea kuwa na power na kufanya shughuli zake kama kawaida chini ya Muungano. Hii ya kwenu haipo imekufa,ndiyo maana mnakimbilia kusema Tanzania bara,kwa mamlaka ipi kisheria?
Tanganyika ilikufa 1964

CCM na Chadema zimesajiliwa Tanzania
 
Ndo hapa huwa naami, wazanzibar, wametuzidi hakili sana. Wao wanakiongozi wa mapinduzi,. Tanganyika hakuna raisi wa huru??
 
Kumammake Tanganyika Ife na Zanzibar Ife hapa tubaki na serikali 1 kama hawataki 3 wanalazimisha ujinga uliofeli miaka lukuki au 2 tubaki na Tanganyika na Zanzibar ibaki kivyake hapo hakuna lawama
 
Mzee Wassira kupitia mahojiano maalum yaliyofanywa na TBC yakimuhusisha pia Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amesema Sera ya CCM kuhusu muundo wa Serikali haitabadilika.

Wassira amemwambia Zitto Kabwe kwamba Ukitaka Serikali 3 ujue hakuna Katiba Mpya itakayopatikana.

Ukweli Mchungu!
Mwambie huyo Wasira aliyenogewa na mwonjo wa asali kiasi kwamba anakuwa kipofu kwamba asitegemee kuikuta Zanzibar ikimngoja kuungana nayo.

Zanzibar wakati huu inafanya juhudi zote kujitwalia madaraka yote ya nchi, huku ikipandia mgongoni mwa inayojulikana kama Tanzania kujiimarisha kuwa nchi na serikali kamili.

Hiyo serikali moja anayozungumzia itatoka wapi, au anamaana ya Zanzibar kuwa inatawala sehemu zote bara na visiwani? Yaani Tanganyika likiwa koloni la Zanzibar?

Hadi Samia amalize ngwe yake hii, Zanzibar itakuwa na mamlaka yote kama nchi inayojitegemea. Sasa Wasira ataitoa wapi Zanzibar nyingine ya kuunda serikali moja nayo?
 
Kumammake Tanganyika Ife na Zanzibar Ife hapa tubaki na serikali 1 kama hawataki 3 wanalazimisha ujinga uliofeli miaka lukuki au 2 tubaki na Tanganyika na Zanzibar ibaki kivyake hapo hakuna lawama
Ninakubaliana na wewe, pamoja na kwamba umetumia lugha ngumu kuwasilisha ujumbe.
 
Kwenda kwenye serikali moja ni kuuwa nchi moja jambo ambolo hakuna upande utakaokubali
Njia itapatikana tu huko baadae
Kwani katiba mpya Mfano:- ikapendekeza zanzibar watachagua makamu wa rais, atakaye kuwa na mamlaka ya kutengeneza baraza la Mawaziri kwa zanzibar na kuunda serekali, na Rais atatoka bara kuna ubaya gani?, that mean katika kampeni watafanya kampeni wote, kwa ZNZ na bara, cheo cha Rais znz, kinaondolewa, na makamu wa rais inapendekezwa ni lazima awe ccm kindakindaki kutoka znz, biashara kwisha!
 
Mzee Wassira kupitia mahojiano maalum yaliyofanywa na TBC yakimuhusisha pia Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amesema Sera ya CCM kuhusu muundo wa Serikali haitabadilika.

Wassira amemwambia Zitto Kabwe kwamba Ukitaka Serikali 3 ujue hakuna Katiba Mpya itakayopatikana.

Ukweli Mchungu!
If it is true that wassira said so, I can definitely sniff the fulfilment of the proverb " absolute power corrupts absolutely". Who is wassira by the way, to immorally refute the will of the people in case they want a three governments union?
 
johnthebaptist yaani una muda wa kuangalia TBC halafu unasikiliza wakimhoji Tyson,,kweli kabisa?
Wasira huyu huyu aliyeanza uongozi miaka ya sabini unategemea kitastoka kwake Cha kujifunza?
Anzisha mradi wa kukaanga kitimoto hapo Iringa.
 
Back
Top Bottom