Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 3,474
- 3,744
CCM NI NANI? IKUMBUKWE NCHI HII SIO MALI YA CCMMzee Wassira kupitia mahojiano maalum yaliyofanywa na TBC yakimuhusisha pia Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amesema Sera ya CCM kuhusu muundo wa Serikali haitabadilika
Wassira amemwambia Zitto Kabwe kwamba Ukitaka Serikali 3 ujue hakuna Katiba Mpya itakayopatikana
Ukweli Mchungu!
Kwani rasimu inasemaje au ndo hawataki tena maan itawafaidisha watanzania na mzee warioba na wenzake?Mzee Wassira kupitia mahojiano maalum yaliyofanywa na TBC yakimuhusisha pia Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amesema Sera ya CCM kuhusu muundo wa Serikali haitabadilika....
Kwa hiyo ni kweli kwamba Katiba Mpya inaenda kuandikwa?Mzee Wassira kupitia mahojiano maalum yaliyofanywa na TBC yakimuhusisha pia Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amesema Sera ya CCM kuhusu muundo wa Serikali haitabadilika....
CCM Ndio WaamuziKwa hiyo ni kweli kwamba Katiba Mpya inaenda kuandikwa??
Basi kuna watu watakonda mwaka huu.
Nilimsikia Tundu Juzi anasema wako na mwendelezo wa mazungumzo nikadhani ni masihahara.
Ni sahihi ila bora serikali moja kuliko Mbili kama haiwezekani TatuNadhani upinzani usikazanie kupata kila kitu.
Tume huru ni mwarubaini wa matatizo mengi.
CCM Ndio Waamuzi
ItaandikwaMuhimu iandikwe.
Na tume huru ya uchaguzi?π πItaandikwa
Kwani hii ina Shida gani?;πNa tume huru ya uchaguzi?π π
Rabbon iko siku tutakuja kupongezana hapa Katiba Mpya ikipatina.CCM iwe na Wanachama ml 29 Kwa Takwimu zipi?
Nijuavyo Wanachama wa CCM wenye KADI ni below 5ml.
Wasira hakui tu? Hatuandiki katiba ya CCM tunaandika katiba ya nchiMzee Wassira kupitia mahojiano maalum yaliyofanywa na TBC yakimuhusisha pia Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amesema Sera ya CCM kuhusu muundo wa Serikali haitabadilika
Wassira amemwambia Zitto Kabwe kwamba Ukitaka Serikali 3 ujue hakuna Katiba Mpya itakayopatikana
Ukweli Mchungu!
Haina shida turekebisha kidogo na yenyewe iwe mpyaπKwani hii ina Shida gani?;π
CCM Ndio nchi yenyeweWasira hakui tu? Hatuandiki katiba ya CCM tunaandika katiba ya nchi
Amen. UMOJA ni nguvu.Rabbon iko siku tutakuja kupongezana hapa Katiba Mpya ikipatina.
Tumekuwa True Advocates kwa hili jambo. Hatupoi.
The Future is BlightAmen. UMOJA ni nguvu.
Mwanzo isingekuwa Rahisi kudai Katiba Kwa kundi moja pekee la CDM,
Baada ya kupambana sana na walioanzisha gangs kutugawa, tunaona MPINA na wenzie wanaona KATIBA mpya ndo Suluhu.
Wataachia tu.
Ni taahira peke yake anaweza sadiki kuwa CCM ina nchi. CCM zaidi ya mwenge haina kingine inachomiliki kihalali, ila kwa kyiba na kwa kupora.CCM Ndio nchi yenyewe
Mbowe: Wanachama wenzangu wa CCM
πππNi taahira peke yake anaweza sadiki kuwa CCM ina nchi. CCM zaidi ya mwenge haina kingine inachomiliki kihalali, ila kwa kyiba na kwa kupora.
Hayo ni mawazo ya Wassira kama mtu wa kawaida tu kama mtu mwingine yeyote anavyoweza kusema tunataka serikali tatu !! Je wazanzibari watakubali kuburutwa kila siku ?! Tusubiri tuone !!Mzee Wassira kupitia mahojiano maalum yaliyofanywa na TBC yakimuhusisha pia Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amesema Sera ya CCM kuhusu muundo wa Serikali haitabadilika...