Wassira: Ieleweke wazi tunapoandika Katiba Mpya Sera ya CCM ni Serikali 2 kuelekea 1 na Siyo vinginevyo

Wassira: Ieleweke wazi tunapoandika Katiba Mpya Sera ya CCM ni Serikali 2 kuelekea 1 na Siyo vinginevyo

Mzee Wassira kupitia mahojiano maalum yaliyofanywa na TBC yakimuhusisha pia Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amesema Sera ya CCM kuhusu muundo wa Serikali haitabadilika

Wassira amemwambia Zitto Kabwe kwamba Ukitaka Serikali 3 ujue hakuna Katiba Mpya itakayopatikana

Ukweli Mchungu!
CCM NI NANI? IKUMBUKWE NCHI HII SIO MALI YA CCM
 
Mzee Wassira kupitia mahojiano maalum yaliyofanywa na TBC yakimuhusisha pia Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amesema Sera ya CCM kuhusu muundo wa Serikali haitabadilika....
Kwa hiyo ni kweli kwamba Katiba Mpya inaenda kuandikwa?

Basi kuna watu watakonda mwaka huu.

Nilimsikia Tundu Juzi anasema wako na mwendelezo wa mazungumzo nikadhani ni masihahara.
 
Kwa hiyo ni kweli kwamba Katiba Mpya inaenda kuandikwa??
Basi kuna watu watakonda mwaka huu.

Nilimsikia Tundu Juzi anasema wako na mwendelezo wa mazungumzo nikadhani ni masihahara.
CCM Ndio Waamuzi
 
Mzee Wassira kupitia mahojiano maalum yaliyofanywa na TBC yakimuhusisha pia Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amesema Sera ya CCM kuhusu muundo wa Serikali haitabadilika

Wassira amemwambia Zitto Kabwe kwamba Ukitaka Serikali 3 ujue hakuna Katiba Mpya itakayopatikana

Ukweli Mchungu!
Wasira hakui tu? Hatuandiki katiba ya CCM tunaandika katiba ya nchi
 
Rabbon iko siku tutakuja kupongezana hapa Katiba Mpya ikipatina.
Tumekuwa True Advocates kwa hili jambo. Hatupoi.
Amen. UMOJA ni nguvu.

Mwanzo isingekuwa Rahisi kudai Katiba Kwa kundi moja pekee la CDM,

Baada ya kupambana sana na walioanzisha gangs kutugawa, tunaona MPINA na wenzie wanaona KATIBA mpya ndo Suluhu.

Wataachia tu.
 
Waliowekwa mbele na CCM kuhakikisha Katiba mpya haipatikani ni wazee wawili,

Haiwezekani wazee wanaingia ulingoni na matokeo mfukoni,

Wananchi wataamua Idadi ya Serikali, 1,2,3,4,5,6 nk nk. ASITUPANGIE.

Mzee PINDA na WASIRA. Ni Kweli wanaweza kujenga HOJA.

Bt kwakuwa suala la KATIBA mpya ni la WANANCHI, itafahamika tu.
 
Kunakuwa na serikali moja. Harafu tawala za majimbo, mfano jimbo la zanziba, pwani, kazkazini,nyanda za juu kusini. Hakuna wilaya mikoa ndio itakuwa wilaya. Lengo ni kupunguza matumizi ya serikali na vikao lukuki
 
Mzee Wassira kupitia mahojiano maalum yaliyofanywa na TBC yakimuhusisha pia Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amesema Sera ya CCM kuhusu muundo wa Serikali haitabadilika...
Hayo ni mawazo ya Wassira kama mtu wa kawaida tu kama mtu mwingine yeyote anavyoweza kusema tunataka serikali tatu !! Je wazanzibari watakubali kuburutwa kila siku ?! Tusubiri tuone !!
 
Back
Top Bottom