Wassira: Ieleweke wazi tunapoandika Katiba Mpya Sera ya CCM ni Serikali 2 kuelekea 1 na Siyo vinginevyo

Kwahiyo Wa upande wa pili watake wasitake lazima iwe hivyo ??!!
Kwamba sa100 na wazanzibari wakubali kumezwa iwe 1?

Imepita miaka 60 wakiwa Nchi,

Kwann hayakufanyika haya 1961 au 1964?

Nionavyo 1 Haiwezekani, 2 imeshindikana, 3 ndo yenyewe Kwa mazingira ya sasa.

Maoni ya wananchi kutokana na Tume ya Warioba yaheshimiwe.

Aamen
 
HUYO MZEE NI MIONGONI MWA WAZEE MAHAFIDHINA WANAOTUHARIBIA NCHI HII
 
Yuko sahihi na kazi imerudisha tena CCM aje asaidie chama.

USSR
NIlikuambia una AKILI NDOGO nitakuwa nafuatilia nyuzi zako .Siasa hujui zaidi ya kushabikia ujinga
 

 
Wasira amezeeka sana , hana hoja
 
Maoni ya mzee Wasira ni ya watu wanaotarajia kuishi not more than 5 years! Baada ya hapo Kama atakuwa hai hawezi Tena kutoa any sensible contribution for the country.
Maslahi binafsi kwake na kwa familia yake ni ya muhimu zaidi kulilo maslahi ya taifa!.
Tumuachie Mungu atende yake kwa mzee huyo
 
Katumwa huyo hana jipya,bila serikali moja basi tatu,huu upuuzi wa tanganyika kujificha kwenye koti la JMT hatuutaki.
 
Katiba sio Kwa Ajili ya Ccm Wala Chadema, mpuuzi mkubwa
 
Hata iweje hio ndio kauli ya mwisho, tumieni uhuru huu uliopo wa kuichakata mbususu basi. Mtake msitake ndio iko hivo ni kiapo, tuache kujiumiza tuhangaike na pesa
 
Amesema sera ya chama, nami naamini hivo kuwa ata iweje CCM hawawezi kukubali serikali 3
 
Kwanini wasitake?? Wazalendo wote wanataka hivyo, anasema kinyume chake anatumiwa huyo.
Msemakweli ni kura ya maoni ! Rasimu ya Warioba ilibakia kupigiwa kura ya maoni tu !! Ngoja Tusubiri tuone Abracadabra !! Yetu macho na masikio !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…