Kwamba sa100 na wazanzibari wakubali kumezwa iwe 1?Kwahiyo Wa upande wa pili watake wasitake lazima iwe hivyo ??!!
Imepita miaka 60 wakiwa Nchi,
Kwann hayakufanyika haya 1961 au 1964?
Nionavyo 1 Haiwezekani, 2 imeshindikana, 3 ndo yenyewe Kwa mazingira ya sasa.
Maoni ya wananchi kutokana na Tume ya Warioba yaheshimiwe.
Aamen