MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Wassira kaongea ukweli mchungu.Mzee Wassira kupitia mahojiano maalum yaliyofanywa na TBC yakimuhusisha pia Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amesema Sera ya CCM kuhusu muundo wa Serikali haitabadilika.
Wassira amemwambia Zitto Kabwe kwamba Ukitaka Serikali 3 ujue hakuna Katiba Mpya itakayopatikana.
Ukweli Mchungu!