Wassira: Ieleweke wazi tunapoandika Katiba Mpya Sera ya CCM ni Serikali 2 kuelekea 1 na Siyo vinginevyo

Mzee Wassira kupitia mahojiano maalum yaliyofanywa na TBC yakimuhusisha pia Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amesema Sera ya CCM kuhusu muundo wa Serikali haitabadilika.

Wassira amemwambia Zitto Kabwe kwamba Ukitaka Serikali 3 ujue hakuna Katiba Mpya itakayopatikana.

Ukweli Mchungu!
Kama Wasira atazungumza hayo na watu wote wakafuata maoni yake ambayo ameyaweka kana kwamba yeye ndyo Tanzania basi nchi kuna mtu ameiweka mfukoni nawapia!!
 
Mzee Wasira amenukuliwa akisema hata kama mchakato wa katiba mpya utaanza msimamo wa CCM ni Serikali 2 kama wapinzani watataka serikali 3 basi mchakato huo utakufa tena na haitapatikana katiba mpya.

Swali la ufahamu hiyo kauli ni ya Mzee Wassira au ya Chama cha Mapinduzi? na kama ni ya Chama cha Mapinduzi ni Kikao gani kilichojadili na kupitisha azimio hilo tangu Rais Samia atangaze kuukwamua upya mchakato wa katiba?

Wajuzi wa mambo tusaidiane uelewa.
 
Hawa wazee wahafidhina watakuwa wapumzishwe kwani ndio walioulea umaskini wetu. Atambue kuwa tunahitaji katiba ya wananchi sio ya Samia wala CCM
 
Mzee Wasira amenukuliwa akisema hata kama mchakato wa katiba mpya utaanza msimamo wa CCM ni Serikali 2 kama wapinzani watataka serikali 3 basi mchakato huo utakufa tena na haitapatikana katiba mpya.

Swali la ufahamu hiyo kauli ni ya Mzee Wassira au ya Chama cha Mapinduzi? na kama ni ya Chama cha Mapinduzi ni Kikao gani kilichojadili na kupitisha azimio hilo tangu Rais Samia atangaze kuukwamua upya mchakato wa katiba?

Wajuzi wa mambo tusaidiane uelewa.
Huyo kazeeka sana tumsamehe tuu
 
Huyo kazeeka sana tumsamehe tuu
Huo ndo msimamo wa CCM. PINDA na WASIRA ndo think tanks wa CCM ktk suala la KATIBA mpya.

Anyway tutawakumbusha kuwa Mzee Warioba Si mwana CDM, ni CCM mwenzao.

Baada ya kupewa KAZI Kwa maslah ya umma, alikusanya maoni na WANANCHI ndo walipendekeza Serikali tatu.

Vita hii WANANCHI tutashinda, haitoahirishwa mechi Wala hakuna Suluhu.
 
WASIRA anatakiwa ajue Katiba mpya haitafutwi Kwa ajili ya maslah ya CCM na CDM kisiasa pekee.

KATIBA mpya ni beyond political parties ambitions.

1.Wakulima Kwa mamilioni walitoa maoni kudai Katiba mpya ilete mifumo Bora kuiboresha KILIMO.

2. Wafanyabiashara wakubwa Kwa wadogo walitoa maoni Yao mbele ya Tume ilete mifumo Bora kuondoa Kodi kandamizi nk.

3. Wachimbaji wadogo walitoa maoni Yao ktk Tume Ili Katiba mpya ilete Utaratibu mzuri wa kuwanufaisha.

4. Watumishi wa Umma na binafsi walitoa maoni Yao mbele ya Tume Ili Kodi kandamizi iondolewe na kupata HAKI zao kikatiba.

5. Vyombo vya ulinzi na USALAMA walitoa maoni Yao mbele ya Tume Ili changamoto zinazohusu mfumo kikatiba zipatiwe ufumbuzi.

6. Wadau ktk Sekta ya Utalii, pia waliotoa maoni Yao ktk Tume.

No. 7,8,9,10.............nk nk.

Mchakato wa KATIBA mpya usiporwe na wanasiasa,

TANZANIA ni yetu sote.

TUHESHIMIANE.
 
Kama huna uwezo wa kudadavua hoja yake, basi si busqrq kuuonyesha upumbafu wako hadharani.
Overrr
Aache kukurupuka. Nawewe basha wake unatakiwa kujua kwamba ukileta hot topic Kama Hiyo LAZIMA uishibishe na ushahidi sio unatupia tu alimradi umekuwa wa kwanza
 
Huo ndio msimamo wa chama toka enzi za kuchafuka kwa hali ya hewa Zanzibar na G55. Haujawahi kubadilika, the only way forward ni serikali moja.

Kama kuna mtu anataka katiba mpya basi hilo aliweke moyoni kabisa, yaani fungua moyo ulipokee hilo kwa ukunjufu, hakuna kinyume chake kamwe.
 
Mzee Wasira amenukuliwa akisema hata kama mchakato wa katiba mpya utaanza msimamo wa CCM ni Serikali 2 kama wapinzani watataka serikali 3 basi mchakato huo utakufa tena na haitapatikana katiba mpya.

Swali la ufahamu hiyo kauli ni ya Mzee Wassira au ya Chama cha Mapinduzi? na kama ni ya Chama cha Mapinduzi ni Kikao gani kilichojadili na kupitisha azimio hilo tangu Rais Samia atangaze kuukwamua upya mchakato wa katiba?

Wajuzi wa mambo tusaidiane uelewa.
Mizee mipumbavu kama hii kwetu usukumani ni ya kupiga shoka ikafie mbele
 
Mzee Wasira amenukuliwa akisema hata kama mchakato wa katiba mpya utaanza msimamo wa CCM ni Serikali 2 kama wapinzani watataka serikali 3 basi mchakato huo utakufa tena na haitapatikana katiba mpya.

Swali la ufahamu hiyo kauli ni ya Mzee Wassira au ya Chama cha Mapinduzi? na kama ni ya Chama cha Mapinduzi ni Kikao gani kilichojadili na kupitisha azimio hilo tangu Rais Samia atangaze kuukwamua upya mchakato wa katiba?

Wajuzi wa mambo tusaidiane uelewa.
Ameamua kupima kina cha maji kwa mguu !!
 
Huo ndio msimamo wa chama toka enzi za kuchafuka kwa hali ya hewa Zanzibar na G55. Haujawahi kubadilika, the only way forward ni serikali moja.

Kama kuna mtu anataka katiba mpya basi hilo aliweke moyoni kabisa, yaani fungua moyo ulipokee hilo kwa ukunjufu, hakuna kinyume chake kamwe.
Kwahiyo Wa upande wa pili watake wasitake lazima iwe hivyo ??!!
 
Back
Top Bottom