Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Wasira atazungumza hayo na watu wote wakafuata maoni yake ambayo ameyaweka kana kwamba yeye ndyo Tanzania basi nchi kuna mtu ameiweka mfukoni nawapia!!Mzee Wassira kupitia mahojiano maalum yaliyofanywa na TBC yakimuhusisha pia Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amesema Sera ya CCM kuhusu muundo wa Serikali haitabadilika.
Wassira amemwambia Zitto Kabwe kwamba Ukitaka Serikali 3 ujue hakuna Katiba Mpya itakayopatikana.
Ukweli Mchungu!
Hawa wazee wahafidhina watakuwa wapumzishwe kwani ndio walioulea umaskini wetu. Atambue kuwa tunahitaji katiba ya wananchi sio ya Samia wala CCMMzee Wasira amenukuliwa akisema hata kama mchakato wa katiba mpya utaanza msimamo wa CCM ni Serikali 2 kama wapinzani watataka serikali 3 basi mchakato huo utakufa tena na haitapatikana katiba mpya.
Swali la ufahamu hiyo kauli ni ya Mzee Wassira au ya Chama cha Mapinduzi? na kama ni ya Chama cha Mapinduzi ni Kikao gani kilichojadili na kupitisha azimio hilo tangu Rais Samia atangaze kuukwamua upya mchakato wa katiba?
Wajuzi wa mambo tusaidiane uelewa.
Huyo kazeeka sana tumsamehe tuuMzee Wasira amenukuliwa akisema hata kama mchakato wa katiba mpya utaanza msimamo wa CCM ni Serikali 2 kama wapinzani watataka serikali 3 basi mchakato huo utakufa tena na haitapatikana katiba mpya.
Swali la ufahamu hiyo kauli ni ya Mzee Wassira au ya Chama cha Mapinduzi? na kama ni ya Chama cha Mapinduzi ni Kikao gani kilichojadili na kupitisha azimio hilo tangu Rais Samia atangaze kuukwamua upya mchakato wa katiba?
Wajuzi wa mambo tusaidiane uelewa.
Huo ndo msimamo wa CCM. PINDA na WASIRA ndo think tanks wa CCM ktk suala la KATIBA mpya.Huyo kazeeka sana tumsamehe tuu
Kama huna uwezo wa kudadavua hoja yake, basi si busqrq kuuonyesha upumbafu wako hadharani.Leta ushahidi kunguni mkubwa wa ufipa
Inawezekana, ila ukimuuliza anakawaida ya kuwakana wanawe
Aache kukurupuka. Nawewe basha wake unatakiwa kujua kwamba ukileta hot topic Kama Hiyo LAZIMA uishibishe na ushahidi sio unatupia tu alimradi umekuwa wa kwanzaKama huna uwezo wa kudadavua hoja yake, basi si busqrq kuuonyesha upumbafu wako hadharani.
Overrr
Mizee mipumbavu kama hii kwetu usukumani ni ya kupiga shoka ikafie mbeleMzee Wasira amenukuliwa akisema hata kama mchakato wa katiba mpya utaanza msimamo wa CCM ni Serikali 2 kama wapinzani watataka serikali 3 basi mchakato huo utakufa tena na haitapatikana katiba mpya.
Swali la ufahamu hiyo kauli ni ya Mzee Wassira au ya Chama cha Mapinduzi? na kama ni ya Chama cha Mapinduzi ni Kikao gani kilichojadili na kupitisha azimio hilo tangu Rais Samia atangaze kuukwamua upya mchakato wa katiba?
Wajuzi wa mambo tusaidiane uelewa.
Hawa ndiyo wanasababisha hata mapinduzi kwani hawataki mabadikiko kwa njia za kistaarabuHawa wazee wahafidhina watakuwa wapumzishwe kwani ndio walioulea umaskini wetu. Atambue kuwa tunahitaji katiba ya wananchi sio ya Samia wala CCM
Ameamua kupima kina cha maji kwa mguu !!Mzee Wasira amenukuliwa akisema hata kama mchakato wa katiba mpya utaanza msimamo wa CCM ni Serikali 2 kama wapinzani watataka serikali 3 basi mchakato huo utakufa tena na haitapatikana katiba mpya.
Swali la ufahamu hiyo kauli ni ya Mzee Wassira au ya Chama cha Mapinduzi? na kama ni ya Chama cha Mapinduzi ni Kikao gani kilichojadili na kupitisha azimio hilo tangu Rais Samia atangaze kuukwamua upya mchakato wa katiba?
Wajuzi wa mambo tusaidiane uelewa.
Kwahiyo Wa upande wa pili watake wasitake lazima iwe hivyo ??!!Huo ndio msimamo wa chama toka enzi za kuchafuka kwa hali ya hewa Zanzibar na G55. Haujawahi kubadilika, the only way forward ni serikali moja.
Kama kuna mtu anataka katiba mpya basi hilo aliweke moyoni kabisa, yaani fungua moyo ulipokee hilo kwa ukunjufu, hakuna kinyume chake kamwe.