Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Wassira anajidanganya. Hakuna Mzanzibar atakayekubali serikali moja!. Hata Wazanzibar wana CCM hakuna anayekubaliana na hilo. Afanye utafiti tu ataona!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo Ufipa st Lowassa aliletwa na Watu Wawili?Ndani ya CCM akitamka mwenyekiti tayari ni sera ya chama.
Kwani Nasari aliletwa CCM na kundi la watu?Hapo Ufipa st Lowassa aliletwa na Watu Wawili?
Zanzibar wanataka serikali tatu, wapinzani wanataka serikali tatu, ccm wanataka serikali mbili kuelekea serikali moja.Zanzibar nao waseme kabla ya kuanza huo mchakato wanatakaje ? Isije ikawa kazi ya kuzipoteza tena pesa za walipa kodi kwa kitu kinachojulikana kuwa hakitowezekana !! Ccm ya Wassira imeshasema lake je upande wa pili nao wapo pamoja na Wassira au vipi ?!
Aliletwa na Komredi Jerry Muro akishirikiana na Komredi Lengai Ole Sabaya atakayekuwa Huru kesho!Kwani Nasari aliletwa CCM na kundi la watu?
Kwahiyo atakapokuwa huru kesho utamfungulia milango yote? Ujuzi wake ulielezwa na aliyemuuzia gari.Aliletwa na Komredi Jerry Muro akishirikiana na Komredi Lengai Ole Sabaya atakayekuwa Huru kesho!
Atabaki Kilimanjaro Mh Babu atakwenda ShinyangaKwahiyo atakapokuwa huru kesho utamfungulia milango yote? Ujuzi wake ulielezwa na aliyemuuzia gari.
Mmeshaanza kutoka nje ya mada na hili ndio tatizo kubwa la watanzania UJINGAKwahiyo atakapokuwa huru kesho utamfungulia milango yote? Ujuzi wake ulielezwa na aliyemuuzia gari.
Mjumbe wa kamati kuu ya chama,huenda ndiyo msimamo wa chama,lakini chama hakiwezi kuwa na nguvu zaidi kuliko Watanzania akiwepo na yeye. Upeo wa kuzeeka kifikra na kimwili kumbe viko sawa.Mzee Wassira kupitia mahojiano maalum yaliyofanywa na TBC yakimuhusisha pia Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amesema Sera ya CCM kuhusu muundo wa Serikali haitabadilika.
Wassira amemwambia Zitto Kabwe kwamba Ukitaka Serikali 3 ujue hakuna Katiba Mpya itakayopatikana.
Ukweli Mchungu!
Umoja ambao Wazanzibari milioni moja wana haki kuliko Watanganyika milioni 60?NIMEPENDA UKWELI WA MZEE WETU WASSIRA, NA HUO NDIO UKWELI WENYEWE. SEREKALI TATU ITAHARIBU UMOJA WETU ADHIMU, TUWE MAKINI, KATIKA KUULINDA MUUNGANO WETU, MUUNGANO NI BORA KULIKO CHOCHOTE KILE.
Anayepaswa kujitafutia uhuru wake ni Tanganyika aliyefichwa kwenye koti la Muungano.Tatizo Wazanzibar hawajitambui, vinginevyo wangeshajitafutia uhuru wake
Aliyemleta Lowasa na Sabaya niye aliyetoka nje ya mada.Mmeshaanza kutoka nje ya mada na hili ndio tatizo kubwa la watanzania UJINGA
Hivi baba akiungana na mama wakipata mtoto baba anauwawa ili abaki mama na mtoto!! Hiki kituko🙄😏Umoja ambao Wazanzibari milioni moja wana haki kuliko Watanganyika milioni 60?
Hukutakiwa kumfuataAliyemleta Lowasa na Sabaya niye aliyetoka nje ya mada.
Wewe humjui huyo mimi namjua vitabia vyake.Hukutakiwa kumfuata
Sio kweli, unajua rasi wa zanzibr anateuliwa/kupendekezwa na Tanzania bara?Anayepaswa kujitafutia uhuru wake ni Tanganyika aliyefichwa kwenye koti la Muungano.
Lengo ni kuelekea kwenye serekali moja, ukiongeza ya tatu, itakuwaje? Hapa kwenye mbili ndio rahisi kuelekea kwenye moja!, yenye maendeleo yenye uwiano sawa! Kwa kila kipande ndani ya muungano wetu.Hoja yako haina mantiki kabisa.
Kivipi serikali tatu zitaharibu umoja wetu badala ya kuuimarisha?
Kama kuwa na serikali nyingi(tatu) ni tatizo, kwanini usije na hoja ya kutaka kuwa na serikali moja badala ya mbili?
Haswaaa ! Hata hao wazanzibari Ccm je wao pia ndio msimamo wao kama wa Mzee wa Ccm Bara !! Ndio swali kuu !!!Zanzibar wanataka serikali tatu, wapinzani wanataka serikali tatu, ccm wanataka serikali mbili kuelekea serikali moja.
Ndio maana nikasema hapa panahitaji akili kubwa maana hili linaweza likawa chaka la ccm kujifichia