Wassira: Mkapa alikopa trillion 23, Jakaya alikopa trillion 20, Magufuli alikopa trillion 29

Wassira: Mkapa alikopa trillion 23, Jakaya alikopa trillion 20, Magufuli alikopa trillion 29

Ileje

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
9,524
Reaction score
13,682
Mzee Wasira yupo Star TV Hivi sasa katika kipindi cha the Big Agenda anasema kwa miaka 10 kila mmoja cha Mkapa na Jakaya walikopa trillion 23 na 20 mtawalia.

Magufuli kwa miaka 5 alikopa trillion 29.
 
Kwani issue ni kukopa au matumizi ya mikopo imewanufaisha nini watanzania? Katika hao maraisi JP ndio raisi ambaye mikopo aliyochukua imeleta faida kubwa kea wananchi kwa kuwakikisha inaenda kwenye miradi iliyopangwa kwa wakati sambamba na kudhibiti ufisadi na Rushwa.
 
Naona Mzee Wassira ama anatumika Kumsafisha Mtu au anataka Cheo au anawatafutia Wanae Fursa Serikalini na Chamani CCM kwani hata leo Asubuhi kama sijakosea alikuwa pia Magic FM na amewashutumu vilivyo wale wanaopinga Rais Samia na Serikali yake isikope na kuiingiza nchi katika Madeni makubwa.
 
Back
Top Bottom