Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Upotoshaji katika ulinganisho wa deni la Taifa kati ya nchi mbalimbali ni ufinyu wa uelewa kuhusu uchumi
Mwaka 2021 umeisha kwa mjadala mkali kuhusu kasi ya ukuaji wa deni la Taifa. Mjadala huo japo umekuwepo kwa kitambo lakini wiki mbili zilizopita umechagizwa zaidi na kauli kali ya Spika wa bunge kwamba jinsi tunavyoendelea ipo siku nchi itauzwa kwa sababu ya mzigo wa deni na hivyo tuchague kati...