Wassira: Mkapa alikopa trillion 23, Jakaya alikopa trillion 20, Magufuli alikopa trillion 29

Wassira: Mkapa alikopa trillion 23, Jakaya alikopa trillion 20, Magufuli alikopa trillion 29

Afu kwanini bila aibu adanganye kuwa hakopi ina maana huyu ana tabia za uongo na kazoea biblia inasema waongo wote sehemu yao ni katika ziwa la moto yani jehanam

Nyie si ndio mlikua mnasisitiza kwamba hakopesheki popote😂😂😂😂 Hadi yule agent wenu akaandika barua tusikopeshwe ule mkopo wa elimu! Umeshasahau mara hii!???

Haya tuambie wapi yeye aliposema huwa hakopi?
 
Pamoja na mbuga za wanyama,milima,mabonde,maziwa,bahari,mito,madini ya kila aina,ardhi yenye rutuba, gesi ,bado tunakopa tuuu!

Malaysia wanategemea bandari tu lakini uchumi wao upo juu sana

Hakika Waafrika hatuna tunachochangia kwenye maendelea ya dunia
Kuala lumpa hawana mirad ya maendeleo hawajeng madarasa wala matundu ya njoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie si ndio mlikua mnasisitiza kwamba hakopesheki popote😂😂😂😂 Hadi yule agent wenu akaandika barua tusikopeshwe ule mkopo wa elimu! Umeshasahau mara hii!???

Haya tuambie wapi yeye aliposema huwa hakopi?
sasa we niambie miradi mikubwa ya maendeleo kama alitumia fedha za ndani kama si mikopo
 
Lilikopa kwa kificho likadai nchi yetu ni tajiri tutembee kifua mbele kumbe linakopa hovyo tena mikopo umiza maana ujeuri ulimfanya asiwe na mahusiano mazuri kupata mikopo nafuu!!!
Bora katoka ofisini asee loh!

Tudai katiba mpya jamani tuachege ujinga tutaumia hadi lini??
 
Mzee Wasira yupo Star TV Hivi sasa katika kipindi cha the Big Agenda anasema kwa miaka 10 kila mmoja cha Mkapa na Jakaya walikopa trillion 23 na 20.

Magufuli kwa miaka 5 alikopa trillion 29.

Sasa walikuwa wana Msimanga nn Kikwete?
 
Ndiyo maana tuliingia uchumi wa kati
Tulikuwa tunaishi nchi ya maigizo na ufanganyifu saivi ndiyo tupo kiuhalisia wa nchi yetu marehemu katuingiza Chaka halafu kasepa katuachia nyuki
 
angekaa miaka10 sijui angekopa kiasi gani.miradi yake yote hata nusu haijafika sasa ingeisha si angekuwa amekopa trilion mia. Afu kwanini bila aibu adanganye kuwa hakopi ina maana huyu ana tabia za uongo na kazoea biblia inasema waongo wote sehemu yao ni katika ziwa la moto yani jehanam
Na alikuwa anawadanganya eti siku nikifa niende kuwa kiongozi Mkuu wa Malaika
 
Uhuru wake wa kutoa maoni kwako wewe unauita 'kutumika'.
Kama unataka niuheshimu Uhuru wa kutoa Maoni wa Mzee Wassira nadhani yakupasa nawe pia Uuheshimu na wangu pia kwani hata Mimi nimetoa Maoni yangu.
 
Mzee Wasira yupo Star TV Hivi sasa katika kipindi cha the Big Agenda anasema kwa miaka 10 kila mmoja cha Mkapa na Jakaya walikopa trillion 23 na 20.

Magufuli kwa miaka 5 alikopa trillion 29.
Labda tuyabadilishe Haya matrilioni katika dollar tunaweza kupata uhalisia.Exchange rate dollar to TZS kipindi Cha Mkapa ilikuwa 350,JK ilikuwa 950,na Jiwe mpaka ànaelekea jongomeo ni 2330.
 
Mzee Wasira yupo Star TV Hivi sasa katika kipindi cha the Big Agenda anasema kwa miaka 10 kila mmoja cha Mkapa na Jakaya walikopa trillion 23 na 20.

Magufuli kwa miaka 5 alikopa trillion 29.
Tr 20 za 2005 na Tr29 za 2021 zipi nyingi?
 
Mzee Wasira yupo Star TV Hivi sasa katika kipindi cha the Big Agenda anasema kwa miaka 10 kila mmoja cha Mkapa na Jakaya walikopa trillion 23 na 20.

Magufuli kwa miaka 5 alikopa trillion 29.
Huyu Mzee apumzike sasa......
usikute anajipanga kugombea ubunge 2025
 
Labda tuyabadilishe Haya matrilioni katika dollar tunaweza kupata uhalisia.Exchange rate dollar to TZS kipindi Cha Mkapa ilikuwa 350,JK ilikuwa 950,na Jiwe mpaka ànaelekea jongomeo ni 2330.
Safi kabisa.
 
Rest well our hero President John Pombe Magufuli
Rest well our hero President Benjamin William Mkapa

Msisahau kutuambia maendeleo yaliyofanyika kwenye hizo trilion23, 20 na 29
Pia watuambie tr20/23 za 2005 na tri29 za 2021 zipi nyingi?
 
Hiyo miradi imekwisha?sana sana amewaachia watu majanga tu, huwezi kujiuliza kwanini miradi mingi kipindi chake ilikuwa ina sua sua sana, kila mradi uko nyuma ya muda wake kumaliziki?yaani miaka 5 ukope trilioni 29, hata kama ni time value 4 money sio hivyo!!na hilo deni la awamu ya 5 ndio maana watu wengi wanapenda lifanyiwe special auditing, kwani utaratibu wa matumizi ya pesa ilikuwa kama mtu anatumia pesa zake bar!!kiongozi anazunguka na fuko la pesa kugawa tu pale anapopenda!!ila MUNGU FUNDI.
Ukiona mradi gani ulio simama?

Mambo yalikuwa yanaenda mchakamchaka hujawahi ona?
 
Pamoja na mbuga za wanyama,milima,mabonde,maziwa,bahari,mito,madini ya kila aina,ardhi yenye rutuba, gesi ,bado tunakopa tuuu!

Malaysia wanategemea bandari tu lakini uchumi wao upo juu sana

Hakika Waafrika hatuna tunachochangia kwenye maendelea ya dunia
Acha ku-mix madesa utafeli. Singapore.
 
Za JPM zilitumika kujenga miradi inayoonekana, no problem kabisa. Za Mkapa the same, za JK nazo half half....
 
Back
Top Bottom