cutelove
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 3,448
- 7,972
Pamoja na mbuga za wanyama,milima,mabonde,maziwa,bahari,mito,madini ya kila aina,ardhi yenye rutuba, gesi ,bado tunakopa tuuu!
Malaysia wanategemea bandari tu lakini uchumi wao upo juu sana
Hakika Waafrika hatuna tunachochangia kwenye maendelea ya dunia
Malaysia wanategemea bandari tu lakini uchumi wao upo juu sana
Hakika Waafrika hatuna tunachochangia kwenye maendelea ya dunia