Wassira: Mkapa alikopa trillion 23, Jakaya alikopa trillion 20, Magufuli alikopa trillion 29

Wassira: Mkapa alikopa trillion 23, Jakaya alikopa trillion 20, Magufuli alikopa trillion 29

Pamoja na kukopa still maendeleo Hakuna,je tuendelee kukopa?
 
Uongo ni mbaya sana , awamu ile watu waliaminishwa uongo ndio huo.
 
Aliyeanzisha hiyo mitreni ya kuwabeba wasukuma ni Magufuli, na hilo Stiegler's gorge Hydro Power ni yeye Magufuli. Kwa hiyo kwa akili yako finyu unataka Rais Samia aache hiyo miradi ife? Unajua kabisa hakuna pesa aliyobakiza Magufuli, kapeleka Chato, katumia vibaya na nyingine kaipeleka kujenga Dodoma kwa Ndugai. Kule HAZINA kakomba hasa. Unategemea pesa za kumalizia miradi itoke wapi?
Mbn mnatuonea ss wasukuma jamn 😂😂
 
Kama hamna vyeti feki mbona mkisikia jina la magu mnapandisha mashetani, ama wajombazenu walikuwa wakwepa kodi na mafisadi.
Jina la mtu muuaji mnafiki na mtesaji ndiyo magu ndiyo maana namchukia
 
Back
Top Bottom