Wassira: Mkapa alikopa trillion 23, Jakaya alikopa trillion 20, Magufuli alikopa trillion 29

Wassira: Mkapa alikopa trillion 23, Jakaya alikopa trillion 20, Magufuli alikopa trillion 29

Kama ni kweli Magufuli alikopa trillion 29 kwa miaka 5 , kuna uwezekano madeni yalichangia kifo chake!​

Mimi hayo yote sijali... ninachojali ni zile kauli zake kuwa tunatekeleza mamiradi kwa fedha za ndani!!! Yule mzee alikua mwongo sana!!
 
Mzee Wasira yupo Star TV Hivi sasa katika kipindi cha the Big Agenda anasema kwa miaka 10 kila mmoja cha Mkapa na Jakaya walikopa trillion 23 na 20 mtawalia.

Magufuli kwa miaka 5 alikopa trillion 29.

Alitaja baada ya kila mmoja kukopa alitumia vipi hizo fedha za mikopo?

Angelinganisha Mkopo vs Maendeleo...
 
Mzee Wasira yupo Star TV Hivi sasa katika kipindi cha the Big Agenda anasema kwa miaka 10 kila mmoja cha Mkapa na Jakaya walikopa trillion 23 na 20 mtawalia.

Magufuli kwa miaka 5 alikopa trillion 29.
Yeye Wasira alitumia kiasi gani kwa mambo yakE binafsi akiwa mtumishi wa umma ambayo hayana manufaa kwa walipa kodi, ikiwemo mikopo mikubwa kwenye bank za umma ambayo haijawahi kulipwa???
 
Mzee Wasira yupo Star TV Hivi sasa katika kipindi cha the Big Agenda anasema kwa miaka 10 kila mmoja cha Mkapa na Jakaya walikopa trillion 23 na 20 mtawalia.

Magufuli kwa miaka 5 alikopa trillion 29.
Ivi Ndugai alipatwa na nini? ni kama vile katika kundi lao aliulizwa je waweza kumsema mama? yeye akajibu Ah... ni jambo jepes sana kwangu na yeye akajitutumua., sasa pamoja na radhi anazoomba wakongwe hawa kina Wasira wanaeka mambo hadharani kummaliza ndugai
 
Kwani issue ni kukopa au matumizi ya mikopo imewanufaisha nini watanzania? Katika hao maraisi JP ndio raisi ambaye mikopo aliyochukua imeleta faida kubwa kea wananchi kwa kuwakikisha inaenda kwenye miradi iliyopangwa kwa wakati sambamba na kudhibiti ufisadi na Rushwa.

Na hili ndo tunashidwa kuelewa!! Kukopa ni Sawa ila pesa zinakwenda sehemu husika? Na vipi pesa inayo kwend znz na wao wanalipa deni au deni nila bara? Tozo zinakwenda wapi? Mama karelax na mikopo kaachana kabisa na kukusanya mapato tra sasa hivi kazi hawafanyi kwa weledi rushwa imerudi kwa kasi ya ajabu.... mama anatakiwa kuwa mkali akope ila pesa iyende sehemu husika na hizi tozo watuambie zinakwend wapi kama tunakopa pesa zakujenga madarasa
 
Mbona unaongea kama mkata tamaa aliekutwa road kalewa chakalii
Tatizo lenu huwa hamtaki kujibu hoja!!hiyo miradi , ambayo ni mikubwa sana, sasa shujaa wenu alpokuwa anawaambia wananchi mniache kwanza siongezi mishahara, hakuna ajira, hadi nimalize hii miradi!!!na mama hana uwezo wa kuanzisha mradi mpya kwa sasa,
 
Alitaja baada ya kila mmoja kukopa alitumia vipi hizo fedha za mikopo?

Angelinganisha Mkopo vs Maendeleo...
Kwani wewe huwezi kulinganisha, ulikuwa hujazaliwa?
 
Ivi Ndugai alipatwa na nini? ni kama vile katika kundi lao aliulizwa je waweza kumsema mama? yeye akajibu Ah... ni jambo jepes sana kwangu na yeye akajitutumua., sasa pamoja na radhi anazoomba wakongwe hawa kina Wasira wanaeka mambo hadharani kummaliza ndugai
Shibe mwanamalevya!
 
Hivi hawa wanaotoa hizi takwimu huwa wanamaanisha nini maana huwa sielewi agenda yao. Anyway hivi 23tril ya kipindi kile ni saw na shilingi ngapi ya sasa na hata kama thamani yake itabaki kuwa hiyohyo kwa sasa tujiulize kitu kimoja mahitaji ya nchi wakati wa Mkapa ni swa na wakat wa JK vivyo hivyo ni sawa na kipindi cha JPM?

Watu wanashangaa JPM kukopa wakati hata mtoto mdogo aajua majorproject alizokuwa anazifanya JPM haihitaji kutafuta miradi ambayo hizo pesa zilikwenda. Kuna baadhi ya miradi ilifanyika kwa fedha za ndani mingine ilifanyika kwa mikopo yenye mashrti nafuu.
 
Miezi saba trillion ngapi?
Aliyeanzisha hiyo mitreni ya kuwabeba wasukuma ni Magufuli, na hilo Stiegler's gorge Hydro Power ni yeye Magufuli. Kwa hiyo kwa akili yako finyu unataka Rais Samia aache hiyo miradi ife? Unajua kabisa hakuna pesa aliyobakiza Magufuli, kapeleka Chato, katumia vibaya na nyingine kaipeleka kujenga Dodoma kwa Ndugai. Kule HAZINA kakomba hasa. Unategemea pesa za kumalizia miradi itoke wapi?
 
Mjadala hauhusiki na masuala binafsi!
Wanasiasa ukiwasikiliza unaweza kufikiri ni wakombozi. Kumbe hawana jipya. Kama mtu hana credibility kwa sababu ya mambo yake anayofanya, anapata wapi nguvu za kuongelea wengine? Ndio unafiki wenyewe.
 
China tuu anakopa sembuse Tzn? Acheni ufwala nyie nyumbu na mbumbumbu wa uchumi 👇

Screenshot_20211228-163443.png

Screenshot_20211228-163237.png
 
Labda tuyabadilishe Haya matrilioni katika dollar tunaweza kupata uhalisia.Exchange rate dollar to TZS kipindi Cha Mkapa ilikuwa 350,JK ilikuwa 950,na Jiwe mpaka ànaelekea jongomeo ni 2330.
Ulinganifu hafanywaji hivyo, bali ulinganifu unafanywa kwa thamianisha ela zote katika wakati mmoja uwe wakati uliopo (present value), wakati ujao (future value) ama wakati uliopita (Past value). Na hii uwezekana kwa kutilia maanani 'annuity factor' ambapo pia discount rates, inflation rates na kadhalika uhusishwa.

Hapa tutaelewana kama upotayari kuelewa maelezo yangu. Wanaojua ukweli hawataki kulinganisha mikopo hii kwa staili hii kwa sababu itazima ajenda zao za siri.
 
Back
Top Bottom