Wassira: Mkapa alikopa trillion 23, Jakaya alikopa trillion 20, Magufuli alikopa trillion 29

Mzee Wasira yupo Star TV Hivi sasa katika kipindi cha the Big Agenda anasema kwa miaka 10 kila mmoja cha Mkapa na Jakaya walikopa trillion 23 na 20 mtawalia.

Magufuli kwa miaka 5 alikopa trillion 29.
Hivi taifa likishakua na deni kubwa zaidi kushindwa kulilipa huwa nini hatima yake
 
Sasa kama miaka 5, tu amekopa karibia trilioni 30, hata kama angemaliza muda wake cjui miaka 15 mbele, kwa mwenendo huo nchi isingekuwa ina kopesheka tena!ndio maana huwa ina sisitizwa utaratibu wa CASH BURGET, miradi yote ipo kwenye hatua tofauti tofwuti, ila hilo la bwana na SGR, ndiko kuna balaaa!!
Uamuzi wa kujenga reli ya umeme kwa umbali huo, hilo ni jini ambalo litawasumbua sana viongozi wanaokuja hata mama hata limaliza na yeye atamuachia mwingine!!kwani sio kazi ndogo ifike mwanza, kigoma , katavi, congo, Rwanda, burundi hahaaa!!!
Usiogope. SGR inamatunda mwakubwa sana. Nchi zaidi ya Tano zitafanya Biashara. Tena ningekuwa mimi ningefanya SGR kuwa namba moja ili kuja kupata pesa nyingi.
 
Hivi taifa likishakua na deni kubwa zaidi kushindwa kulilipa huwa nini hatima yake
Kwanza inazuiliwa kuendelea kukopa na pili wale walioikopesha wanaweza kuamua kuchukua miradi waliyoifadhili na kuiendesha hadi watakaporudisha fedha zao na faida.
 
Sasa kama miaka 5, tu amekopa karibia trilioni 30, hata kama angemaliza muda wake cjui miaka 15 mbele, kwa mwenendo huo nchi isingekuwa ina kopesheka tena!ndio maana huwa ina sisitizwa utaratibu wa CASH BURGET, miradi yote ipo kwenye hatua tofauti tofwuti, ila hilo la bwana na SGR, ndiko kuna balaaa!!
Uamuzi wa kujenga reli ya umeme kwa umbali huo, hilo ni jini ambalo litawasumbua sana viongozi wanaokuja hata mama hata limaliza na yeye atamuachia mwingine!!kwani sio kazi ndogo ifike mwanza, kigoma , katavi, congo, Rwanda, burundi hahaaa!!!
Mbona unaongea kama mkata tamaa aliekutwa road kalewa chakalii
 
Mfano ujenzi wa ile Bandari mpya ya Bagamoyo Rais ataweka rehani kisiwa cha Unguja na Pemba
 
Kwanza inazuiliwa kuendelea kukopa na pili wale walioikopesha wanaweza kuamua kuchukua miradi waliyoifadhili na kuiendesha hadi watakaporudisha fedha zao na faida.
Hii ndiyo hatari zaidi sasa
 
Kamata bandari, kamata ndege, kamata viwanja vya ndege, kamata TRA, kamata Tanesco ndivyo inavyokuwa

Ni mtambuka ni dhahiri tujifunze kujigegemea sasa mambo ya mikopo na riba kubwa ni inatafutana hili taifa, mbona vyanzo ni vingi sana vya mapato hapa swala ni kuviboresha tu
 
Mzee Wasira yupo Star TV Hivi sasa katika kipindi cha the Big Agenda anasema kwa miaka 10 kila mmoja cha Mkapa na Jakaya walikopa trillion 23 na 20 mtawalia.

Magufuli kwa miaka 5 alikopa trillion 29.

Doto James, aliyekuwa Katibu Mkuu wa wizara ya Fedha tuambie Je? Magufuli alikopa trillion 29 kwa miaka 5?​

Kama ni kweli Magufuli alikopa trillion 29 kwa miaka 5 , kuna uwezekano madeni yalichangia kifo chake!​

Lakini Magufuli alituambia anajenga uchumi kwa pesa za ndani na sio mikopo ya pesa za mabeberu.
Shida ya huyo mzee alikuwa mwongo sana .yaani uwongo ilikuwa sehemu ya maisha yake . Katika maraisi waongo huyu alitakiwa kupewa tuzo ya nobel ya uwongo alikuwa anashika namba moja duniani
 
Ukimaanisha alifanana na Prof Muhongo?
 
Back
Top Bottom