Wassira: Mkapa alikopa trillion 23, Jakaya alikopa trillion 20, Magufuli alikopa trillion 29

Pamoja na kukopa still maendeleo Hakuna,je tuendelee kukopa?
 
Uongo ni mbaya sana , awamu ile watu waliaminishwa uongo ndio huo.
 
Mbn mnatuonea ss wasukuma jamn 😂😂
 
Kama hamna vyeti feki mbona mkisikia jina la magu mnapandisha mashetani, ama wajombazenu walikuwa wakwepa kodi na mafisadi.
Jina la mtu muuaji mnafiki na mtesaji ndiyo magu ndiyo maana namchukia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…