DOKEZO Wastaafu wa TTCL hawajapata pension zao mpaka leo tarehe 2. Hazina imekauka?

DOKEZO Wastaafu wa TTCL hawajapata pension zao mpaka leo tarehe 2. Hazina imekauka?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

tanganyika_og

Member
Joined
Aug 17, 2024
Posts
40
Reaction score
49
Ni wale wanaopata pension zao kupitia msajili wa Hazina.
Mpaka leo tarehe 2 bado hawajapata pension zao na wanateseka kweli.
 
CRDB kuna nini mbona pesa za watu zinachotwa
 
Ni wale wanaopata pension zao kupitia msajili wa Hazina.
Mpaka leo tarehe 2 bado hawajapata pension zao na wanateseka kweli.
Ww ndio huyo mstaafu nini? Sivakabu nyie ndio mlikuwa mkiambiwa tuandamane kudai utawala wa sheria ufuatwe mkiwa Bado kwenye ajira, mlikuwa mnasema kwa nyodo mnatunza amani. Saa hii mnajiliza huku mitandaoni
 
Ww ndio huyo mstaafu nini? Sivakabu nyie ndio mlikuwa mkiambiwa tuandamane kudai utawala wa sheria ufuatwe mkiwa Bado kwenye ajira, mlikuwa mnasema kwa nyodo mnatunza amani. Saa hii mnajiliza huku mitand
Tuwapambanie hawa wazee....hali ni mbaya sana.
 
Imagine unalitumikia taifa miaka yote hiyo halafu unakuwa treated kama hivi. au wanataka hawa wazee wafe?
Nchi ngumu sana hii
 
Imagine unalitumikia taifa miaka yote hiyo halafu unakuwa treated kama hivi. au wanataka hawa wazee wafe?
Nchi ngumu sana hii
Siasa haileti ugali mezani wakomae na hali yao wasijilize mitandaoni. Kutumikia taifa ni pamoja kupigania haki za kiutawala ili kuset viwango vya juu vya uwawajibikaji wa wanasiasa. Akina Lissu wakipigania haki za watawala kufuata katiba na sheria watumishi wa umma wanatoka hadharani kuwalaumu kwamba wanawadogosha viongozi wao. Wakistaafu wanataka kupata red carpet treatment, kwa uwajibikaji upi waliouacha serikalini!?
 
Tatizo la hawa wazee ni kudumazwa na mfumo kwa miaka mingi. Yaani hawako organized kabisa ni kama wana mtindio kidogo. ukiona wanachoandika kwenye group lao ni lugha fulani ya kinyonge sana. Kesho ilitakiwa wale wote ambao wako fit, break ya kwanza ilitakiwa iwe hazina.
ila hii kitu akipost Mange au Maria Sarungi utasikia maelezo yanatoka fasta sambamba na kulipwa pension zao
 
Mpaka leo hakuna dalili za kupewa pension. ila mishahara aaah, noano wamejilipa wenyewe
 
Au wahanga wa 'kukaza buti' ndiyo wameanza kuonekana?

Serikali inakopa sana katika mifuko ya hifadhi ya jamii pasipo kulipa kwa wakati
Hiyo mifuko ingeshafilisika muda sana kinacho okoa ni kwamba wanaendelea kukusanya makato ya mafao kwa wafanyakazi
 
Acha msipewe kabisaa..
Ttcl haujawai kuleta tija kwenye hili taifa zaidi ya kirecord hasara tu kila mwaka ..
 
Back
Top Bottom