Wastaafu wawe wanaandaliwa kisaikojia kabla ya kukabidhiwa mafao

Huwa sielewi kabisa hesabu za mafao zinapigwa vipi. Kwa kanuni ambazo mifuko inatutangazia haiwezekani kipato cha laki nne unusu kikazaa milioni 60 hata ungefanya kazi miaka 50!
We unachangia na serikali inakuchangia mzee. Kuna uzi ulidadavua hilo suala humu
 
Kuna wale wazee aka wabishi kuzeeka,wako tayari wafie kwenye vinena aka vipochi manyonya.Nawafahamu wawili mmoja mzee wa bandari kastaafu na mwingine alikuwa UDSM alafu wote walikuwa marafiki walivyopata mafao waliondoka home kabisa na kuhamia kwenye nyumba ndogo baada ya pesa kuisha wakarudi kwa wake zao na korodani zao.


 
Fixed Deposit haina faida kama una hela ya kitoto hizo za below 100M...Wanaoinjoy hio ni wenye 400M plus!
Mkuu heshima kwako. Nifanyie wepesi kwa kikokotoo cha fixed deposit. Tuseme kwa mfano ukaweka million 500 fixed deposit faida yake kwa mwezi na mwaka unapata ngapi?

Natanguliza Shukrani zangu za dhati kabisa
 
We unachangia na serikali inakuchangia mzee. Kuna uzi ulidadavua hilo suala humu
I know that much.

Wewe 5% na serikali 15%, public sector

Wewe 10% na mwajiri 10%, private sector

Jumla 20% of gross income inachangiwa

Kwa hiyo mshahara wa laki 4 unusu inakwenda kwenye mfuko jumla 90,000/=, ambayo ni 20%.

Hata miaka mia ya utumishi hufikishi milioni 200 ya pensheni ya mkupuo.

Sijui huwa mnapiga hesabu gani
 
Uoga wa maisha ndio unawafanya watumishi na wastaafu wengi kupagawa na pesa ndogo za kiinua mgongo.
 
Mkuu heshima kwako. Nifanyie wepesi kwa kikokotoo cha fixed deposit. Tuseme kwa mfano ukaweka million 500 fixed deposit faida yake kwa mwezi na mwaka unapata ngapi?

Natanguliza Shukrani zangu za dhati kabisa
Piga 9.5% ya hio pesa mzee ndio hela utapata kwa mwaka!
 
Kuna Mwalimu mwaka jana/juzi aliuziwa fuso likiwa njiani kupeleka cargo Mwanza kufika tu Mwanza jamaa wakasepa na hela akaja dreva akasema anaenda kuosha wamsubirie bar walate document original ndio ntoleee hiyo!
Baadae akaenda polisi kuja kukamatwa hawana hata senti Noma sana!
 
Mtu akipata pesa ndiyo utaifahamu tabia yake, uncle wangu tulijua ni mlokole mpaka alipopata mafao ndiyo tulijua anapenda bia na nyama choma.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji28][emoji28][emoji1787]
 
Tusishangae sana kwani mshahara unaishaje? Ndio hivyo hivyo mafao yanaisha.....
 
Kuna mzee mmoja kabla ya mafao alikua na maisha mazuri tu, mjengo mzuri alijenga akiwa kazini. Kimbembe ni pale alipopokea million 70 ya mafao. Pesa iliisha na nyumba aliyokua anaishi pia akauza, sasa hv anajutia yale mafao anasema bora asingepewa

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Wastaafu wanawindwa sana kama sio wezi wa mitandao basi mama anaungana na watoto kumshugulikia baba ( kama mstaafu ni baba) ,pia kuna Wanawake hata huku mijini wana namba za simu za wastaafu na wanawaibia hasa!!! Yani dawa ni moja ukistaafu hama ulipopazoea badili lini kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…