Wastaafu wawe wanaandaliwa kisaikojia kabla ya kukabidhiwa mafao

Inaonekana huyo mzee alikuwa hana makazi aliyojenga.

Hivi gest panaweza kuwa 'patamu' kama nyumbani kama pako vizuri?
Hebu jaribu kumpeleka mkeo gesti, utaona anavyojituma. Hata kwenye semina za ndoa tunafundishwa Mara moja moja kuwapeleka wake zetu kwenda kutenda nao tendo la ndoa sehemu tofauti tofauti.
Huyu mstaafu niliyemsema, yeye alikwenda na waif wake kwa muda wa wiki mbili wakila kunywa na kulala nje ya nyumba yao.
 
Ninamkumbuka Marehemu Balozi Mwasakafyuka alipokuwa Mkurugenzi wa Mkoa Tanga siku moja alitoa hotuba na kusema unapoajiriwa pale pale anza kupanga maisha baada ya ajira.
Duuh!! Kama unamkumbuka late Ambassador babu Mwasa itakuwa nawe upo mbioni kustaafu, give or take you might be 50+.
 
Hili sijawahi kuliwaza mkuu.
 
Hela zenyewe kama za kichawi huwa hakizai mfukoni.
 
Ni kweli mikopo saccos na mikopo ya ofisini kwao....ni masikini sana watumishi wa uma
 
We unachangia na serikali inakuchangia mzee. Kuna uzi ulidadavua hilo suala humu
PAYE imepunguzwa ujue, so na kiwango cha employee ni kidogo pia....mbele ni kilio labda maza afanye amendment
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]
 
Intensive analytical
 
Alipatwa na nini?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]
 
Nakusubiri...

Ulikuja na mbwembwe mkurupuko...

Onyesha nilipokosea niliposema mstaafu wa laki saba utumishi wa miaka 40 atalipwa fao la pensheni ya mkupuo milioni 21...
I can not control the behavior of others, but I can choose how to respond to them.
 
Mkuu uko vizuri[emoji122][emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…