Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Hii ni kwa mujibu wa riport ya CAG. Ambapo kiasi cha shilingi bilioni 80 hazionekani zilipo, pesa ambazo ukizigawa kwa halimashauri zote 187 nchini ni kila halimashauri imepoteza milioni 420. Hii haiingii akilini kabisa, iweje pesa ndefu kama hiyo wadaiwa waingie mitini. Maafisa maendeleo wa kata na wilaya wanafahamu pesa za walipakodi walikozipeleka. Binafsi The lost siamini kama serikali haijuia zilipo ila wanataka kuudanganya umma. Pesa zimepigwa na wajanja na zigo wanataka kurushiwa vijana na walemavu. Wakurugenzi watupishe na sehemu salama ya kuwapeleka ni mahakamaini.