ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 17,640
- 22,748
kwanini anaachika sasaAmani iwe nanyi wapendwa,
Dada yetu Wastara Juma leo amefunga ndoa ya kiislam na kufanya idadi yake ya kuolewa kufika mara saba.
Dada huyo ambaye juzi tumetoka kumchangia pesa za matitabu kaolewa na bwana Rashid.
Wadada wengine wapo tu hawana hata bahati ya kuoelewa mfano Wema Sepetu wakati wengine ndo kama hivyo wanaolewa hadi mara saba.
LONDON BOY
nijibu kwanza hili swali