Wastara aolewa kwa mara ya saba

Wastara aolewa kwa mara ya saba

Ndoa ya saba means dudu halali ya saba..????? Hatujahesabu za kuchepuka hapo!!
 
Mwanamke bora katika wanawake wote wa tanzania unakuta mipopo mengn kutwa insta kuuza nyango na kuvunja ndoa za watu lkn MashaAllah wastara ni mlemavu lakini ni almas ana nyota ya zuhura
 
Aaaa shoga umetoka jela
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji11]hii Kali hii hata km ndoa ni faradhi...!!Wastara angejiuguza kwanza!

Pesa za matibabu anachangiwa mume atamuweza kaa!!!
 
Amani iwe nanyi wapendwa,

Dada yetu Wastara Juma leo amefunga ndoa ya kiislam na kufanya idadi yake ya kuolewa kufika mara saba.

Dada huyo ambaye juzi tumetoka kumchangia pesa za matitabu kaolewa na bwana Rashid.

Wadada wengine wapo tu hawana hata bahati ya kuoelewa mfano Wema Sepetu wakati wengine ndo kama hivyo wanaolewa hadi mara saba.

LONDON BOY
To tell the truth wapo wanawake wameolewa mara Moja tuu na kudumu kwenye ndoa zao hizo hizo miaka nenda rudi. Sasa huyu kawa mtaliki mara 6 na mwolewaji mara 7, ninaamin kabisa yy ndiye tatizo. Haiqezekan wanaume 6 wote wakutaliki afu Bado ukiolewe tukuone uko perfect.

Hata kwenye uislam mwanamke ni vyuo 3 Sasa huyu kafika 7 ajiangalie atafikisha 20+.

Baya zaidi ana familia / Koo 7 zinazomjua ndani na nje sijui kama hata ile.methali ya "nataka nyingi nasaba kupata mingi misiba" kama anaijua

Bado Deo kisandu tuu kumuoa
 
Mwanamke bora katika wanawake wote wa tanzania unakuta mipopo mengn kutwa insta kuuza nyango na kuvunja ndoa za watu lkn MashaAllah wastara ni mlemavu lakini ni almas ana nyota ya zuhura
Aisee.

Wengine wakisifia utaliki mara 6 ndoa mara 7, wengine tunaponda.

Huyu binti ana shida unless anataka kuingia kwenye Guinness book
 
Back
Top Bottom