sodoliki
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,593
- 2,019
Nadhani siri ipo hapo lazima ni moto wa gesiMkuu papuch yake haina ulemavu wowote kwahiyo chunga sana kauli yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani siri ipo hapo lazima ni moto wa gesiMkuu papuch yake haina ulemavu wowote kwahiyo chunga sana kauli yako
huyo wanamlamba na kumbwaga coz anapenda sana ndoa si utaona mpe miezi mitano tuNdiyo kwahiyo unataka aolewe mwezi gan? Je kama huyo mwanaume akigair utamuoa wewe
Umezibuka.Wastara atakuwa ana fanya utafiti wa PhD kwenye masuala ya ndoa
Siyo bure aki
hhahahahahahah nimecheka kwa nguvu jamanNdio ameolewa na haka kamkaka sijui kaigizaji akitoka huyu anaolewa na hamorapa
Mama Saby[emoji8]Sijawah lilia ndoa mimi
Wala sina haraka na ndoa tena zingine huwa nazikataa,mimi siki nikiolewa ni kimojaa siachiki,,
Sasa wastara kila siku kuolewa jamani hata aibu haoni
[emoji11][emoji11]Mama Saby[emoji8]
Niko poa jjehhahahahahahah nimecheka kwa nguvu jaman
mzima weye?
nafurahi kusikia hivyo...nami niko poa sanaNiko poa jje
Vizurinafurahi kusikia hivyo...nami niko poa sana
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji11]hii Kali hii hata km ndoa ni faradhi...!!Wastara angejiuguza kwanza!
Pesa za matibabu anachangiwa mume atamuweza kaa!!!
To tell the truth wapo wanawake wameolewa mara Moja tuu na kudumu kwenye ndoa zao hizo hizo miaka nenda rudi. Sasa huyu kawa mtaliki mara 6 na mwolewaji mara 7, ninaamin kabisa yy ndiye tatizo. Haiqezekan wanaume 6 wote wakutaliki afu Bado ukiolewe tukuone uko perfect.Amani iwe nanyi wapendwa,
Dada yetu Wastara Juma leo amefunga ndoa ya kiislam na kufanya idadi yake ya kuolewa kufika mara saba.
Dada huyo ambaye juzi tumetoka kumchangia pesa za matitabu kaolewa na bwana Rashid.
Wadada wengine wapo tu hawana hata bahati ya kuoelewa mfano Wema Sepetu wakati wengine ndo kama hivyo wanaolewa hadi mara saba.
LONDON BOY
Aisee.Mwanamke bora katika wanawake wote wa tanzania unakuta mipopo mengn kutwa insta kuuza nyango na kuvunja ndoa za watu lkn MashaAllah wastara ni mlemavu lakini ni almas ana nyota ya zuhura