Kamjingijingi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2009
- 806
- 129
Wanipa raha Madame.Nadhani utakuwepo,subiri wataalamu watatuwekea link mkuu.
Umepotea sana mkuu.....Wanipa raha Madame.
Anapenda kujilalamisha huyu mwanamke loh!! Sasa kaingia ukewenza wa kizenji atulie mana sasaivi ataanza kujilizaKaolewa Leo....mbona hajatuma fcbk kushukuru Mungu?kaingia uke wenza akipata changamoto kidogo za ndoa atakimbilia IG kulalamika ili aonewe huruma.Yaani inaboa kwa kweli
Ana bahati sasa huyu dada kama sikosei ni ndoa ya nne hii.
Hahahhaa kabanga, comment zako za 'sawa' 'ndio' 'ok' leo umeamua kufungukayaonyesha ni mtamu sana huyu dada.....