Idimi linapokuja swala la utawala bora, sheria ifuate mkondo wake, kama alijenga sehemu zisizo stahili sheria ifuate mkondo hata kama alikuwa manager campaign wake!Ficus, sidhani kama kuna anayependa mwenzake adhurike. Huyu dada na bongo mie wenzake wanatumika sana na chama tawala, then wanatupwa. Sisiemu wako wapi ili wanusuru nyumba zake zisibomolewe ?
Nani aliuimba niu-search mtandaoni?Nadhani utakuwepo,subiri wataalamu watatuwekea link mkuu.
nimecheka xn daaaaHahahaha mbavu zangu mie
bora tusifike hata apo karibuBado sio sababu ya kufurahia matatizo ya mtu binafsi! Kile kilikuwa ni kipindi cha campaign na kila mtu ana haki ya kumshabikia/kumnadi mgombea anayeona anafaa!
Kama watanzania tutaendelea kuishi kwa chuki namna hii, tena ya kipuuzi hatutafika mbali.
Eeeeeh Mungu inusuru nchi yetu na dhambi hii.
Nyodo, Maringo, Dhihaka na Kejeli za kutosha alizokuwa akizifanya Mitandaoni na Majukwaani ili kuisifia CCM huku akiwabeza wanyonge wa UKAWA ambao walikuwa wakiitwa Malofa, Wajinga na Wapumbavu, ndio zimeleta yote haya.
BOFYA HAPA KUSIKILIZA wimbo~ CCM Mbele Kwa Mbele[URL="http://"][/url]Hahahahaaa CCM ni ileile ooh ni ileileeeeee.
Tumejipangaaa,mwaka huu wataisomaaa.
Nimekamiss sana haka kawimbo jamani!
Bado sio sababu ya kufurahia matatizo ya mtu binafsi! Kile kilikuwa ni kipindi cha campaign na kila mtu ana haki ya kumshabikia/kumnadi mgombea anayeona anafaa!
Kama watanzania tutaendelea kuishi kwa chuki namna hii, tena ya kipuuzi hatutafika mbali.
Eeeeeh Mungu inusuru nchi yetu na dhambi hii.
Bado sio sababu ya kufurahia matatizo ya mtu binafsi! Kile kilikuwa ni kipindi cha campaign na kila mtu ana haki ya kumshabikia/kumnadi mgombea anayeona anafaa!
Kama watanzania tutaendelea kuishi kwa chuki namna hii, tena ya kipuuzi hatutafika mbali.
Eeeeeh Mungu inusuru nchi yetu na dhambi hii.
Kwa sababu ni mjinga na hajui alichokua anakishabikia,sifa na ujinga wa kubebwa mzobemzobe na li shangingi Wema ndio zimemfikisha hapa.Mbona wastara huwa ana majanga xana? hlf sielew watu mnachofurahia kwenye hii thread ni nini, matatizo yapo kwa kila mtu, wastara mbona sio bitch na mwenye show off feki kama akina wema?? lkn bado mnamsema vibaya tu