Ficus
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 1,438
- 1,119
Idimi linapokuja swala la utawala bora, sheria ifuate mkondo wake, kama alijenga sehemu zisizo stahili sheria ifuate mkondo hata kama alikuwa manager campaign wake!Ficus, sidhani kama kuna anayependa mwenzake adhurike. Huyu dada na bongo mie wenzake wanatumika sana na chama tawala, then wanatupwa. Sisiemu wako wapi ili wanusuru nyumba zake zisibomolewe ?
Lakini sio kushabikia matatizo ya mtu binafsi kwasababu ya uchama!