Wastara Kikaangoni EATV, aibua mapya ya Mange Kimambi, Ali Kiba kumpa msaada na hasimu wake kumnyima

Wewe ulimsaidia, si alitangaza kuomba msaada kwny media, naona umekomaa na mond tuu.
 
Yaani aliachana na mume wake kisa kuombwa risiti?
Pumbavu sana huyu dada.
 
Cannula iliwekwa vizuri tu, huku ikiwa upside down?.
safi na pole dada yetu.
 
Kina wema sepetu,kiba,dai na wengineo wanawika mitandaoni kutokana na kazi zao wanazofanya
Huyu nungayembe anajilazimisha nae awike mitandaoni kwa kazi ya kuomba misaada
Hivi hajiulizi wala hajioni kama anajidhalilisha????
Ati kaanza kumchokonoa na Mange[emoji3]yoote hio apate nae umaarufu tu mitandaoni[emoji3]
Kiba akisikia kama anatangazwa kuwa kampa tafu,naimani hato ona tena hata sumni ya kiba[emoji1321]
 
Sawali langu katika iyi Canula ni moja tuu. Nalo ni kama ilikuwa sio feki mbona alifuta iyo picha fasta?
 
Bongo amesemaje kuhusu wao??, ache kulalama ,kuna wa tz wako wana shida sana lakini wanalilia ndani kwa ndani
 
Kashapewa jibu mubashara na mange kule insta ni hatari
 
Naona mange kafuta post maana matusi yale si ya nji hii
 
Yeye awe anauhakika anapesa au hana.. Kwa kifupi msaada in sadaka.. Na mtu anatoa kwa nia. Kama diamond hakutoa basis hakutoa.. Diamond hana obligation yoyote juu ya kula kulala matibabu ya wastara.. Sometimes hata pole inatosha.

Ukaugue usumbue watu.. Huo ni ujinga tu. Halafu MTU anatetea.. Alikuja kuomba na hakupewa aende na safari zake.. Ni uchoyo sio uchoyo hilo linabaki ndani ya moyo Wa MTU.. Yeye ndio anajua na Mungu wake kwa nn hakumpatia.
 
Na matumizi na malengo yake yanahitaji pesa zaidi.. Unajua nikiwa shule nilikuwa nikisika bro analipwa million na nusu nilikuwa naona bro anapesa sana.. Then nikapata na mm kazzi na pesa nyingi zaidi lakini nikajikuta na mid nasema sina pesa.. Maana na malengo yanakuwa makubwa.

Diamond anapesa nyingi ila haitoshi kuwa sababu ya Mimi na wewe kuamini kuwa always atakuwa na stash pembeni wastara kuja kuomba msaada. Huenda ameshapeleka zaka msikitini na anafanya vitu kwa hesabu.

Utaanzisha vituo vya redio kama unawaza kutwa kucha wastara atakuja kuchukua pesa ya matibabu?! Tuepuke kutengeneza watu scenario ambazo hazina msingi. Aliombwa na akawa hana.. Basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…