Riadha jr
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 567
- 331
Ila Mange hana akili timamu kabisa, siamini kama kweli alipiga simu na kuwahoji Madaktari akijidai yeye ni dada wa Wastara, that was too much, Mange anapenda jenga uadui usio na ulazima kabisa, ila ndio maisha yake, ila yatamlipukia usoni siku moja na kuaibika sana, na hata kujimaliza kama mzee wake...
Siyo mtu mzuri kabisa..
haya ya babaake sasa una yaleta wewe,ilikua haitoshi kusema si mtu mzuri ukaina utie na mzee wake,ok tumekuelewa kua si mtu mzuri ila hili neno kabisa lina maana gani?samahani hiki ni kizazi cha kuhoji !!!