Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,094
Sijakupa mfano hayo kayasema wastara mwenyewe nilikusimulia kwa kuwa niliona huja soma article, na nilikusimulia hilo kutokana na madai yako kuwa diamond alikuwa hana hela nika kwambia hata Kiba alikuwa hana ila alizitafuta kwa uwezo wake ndio akatoa msaada.Sijapaniki, stori nimeisoma yote. Nimekuuliza muda wote huwa unakuwa na uwezo wa kutoa msaada au pesa? Umenipa mfano ati alikiba alienda kufanya show ili ampe wastara msaada je kama Diamond hakuweza kufanya chochote ili amempe msaada wastara? Ni lazima Diamond siku zote awe na uwezo wa kutoa msaada? Kama sivyo iweje aonekane mchoyo? Angalia maswali ya msingi ujibu.
Diamond atashindwaje kufanya chochote wakati ni mwanamziki, mfanya biashara yet wakat Wastara anaomba msaada Diamond alikuwa ana fanya shows (labda kama alifanya bure).
Halaf kama hakuweza si angempa feedback mwombaji kwamba siwezi kwa sasa sina!
Wastara siyo kwamba ni zuzu kias aombe msaada anao jua uta msumbua Diamond.
Mi siangalii maswali ya msingi huwa najibu neno kwa neno, hoja kwa hoja.
Hakuna sababu yyte ya kumtetea diamond kwenye hili ndugu yangu.