binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Especially kama ana uwezo...... umejuaje kama mhusika muda wote anauwezo wa kusaidia watu? Au we mwenzetu huwa unakuwa na pesa au msaada muda wote? Kama sivyo iweje ukaconclude ambaye hajaatoa msaada ni mchoyo?Huwezi jua niko wap nnavo andika au nafanya nn i think msg yangu ume ielewa regardless of errors.
Yes! Especialky kama ana uwezo wa kusaidia. Ni mchoyo ila si lazima asiwe mchoyo.
Ukisoma hiyo stori fresh utagundua Diamond alifanya uchoyo. But na mimi namshauri wastara asi concentrate na alo mnyima msaada kwani si lazima kusaidiwa. A focus kwa alo mpa msaada.