Wastara Kikaangoni EATV, aibua mapya ya Mange Kimambi, Ali Kiba kumpa msaada na hasimu wake kumnyima

Huwezi jua niko wap nnavo andika au nafanya nn i think msg yangu ume ielewa regardless of errors.
Yes! Especialky kama ana uwezo wa kusaidia. Ni mchoyo ila si lazima asiwe mchoyo.
Ukisoma hiyo stori fresh utagundua Diamond alifanya uchoyo. But na mimi namshauri wastara asi concentrate na alo mnyima msaada kwani si lazima kusaidiwa. A focus kwa alo mpa msaada.
Especially kama ana uwezo...... umejuaje kama mhusika muda wote anauwezo wa kusaidia watu? Au we mwenzetu huwa unakuwa na pesa au msaada muda wote? Kama sivyo iweje ukaconclude ambaye hajaatoa msaada ni mchoyo?
 
Tatizo hata stori hujaisoma, AK mwenyewe hakuwa na kitu, ila alimwambia Wastara asubiri wakapige show ya Kenya akirud atampa atakacho pata. Wastara alisubiri jamaa alivo rudi akampa chochote. Diamond hata feedback hakurudisha kwa hiyo tusimsemee kama alikuwa hana. Diamond asinge shindwa kuwa na kias kidogo cha kumsaidia Wastara. alikuwa ni mchoyo lakini hatuna haja ya ku jadili mabaya ya diamond kwenye sehemu ya mazuri ya Ali Kiba.
 
Sijaisoma au unahisi sijaisoma? Hujajibu swali bado, mtu asiposaidia maana yake ni mchoyo? Kwanini? Mbona blah blah nyingi
 
Hahahaha
Unapanic, ukitulia utanielewa.
Ukizungumzia mtu ni ishu general
Mimi ni sipo toa msaada naweza toa sababu ila si sawa na bakhressa asipo toa msaada he must provide really reasonable sababu.
Kwa hiyo na conclude kwa uwezo wa diamond, kuto msaidia Wastara ulikuwa ni UCHOYO kwa sababu uwezo huo alikuwa nao. Na wale wote ambao hatukuwa na uwezo Wastara hakutundikia barua kama alivo mwandikia diamond.

Narudia tena, Ungesoma stori hiyo unge nielewa.
 
Tatizo hata stori hujaisoma, AK mwenyewe hakuwa na kitu, ila alimwambia Wastara asubiri wakapige show ya Kenya akirud atampa atakacho pata. Wastara alisubiri jamaa alivo rudi akampa chochote. Diamond hata feedback hakurudisha kwa hiyo tusimsemee kama alikuwa hana. Diamond asinge shindwa kuwa na kias kidogo cha kumsaidia Wastara. alikuwa ni mchoyo lakini hatuna haja ya ku jadili mabaya ya diamond kwenye sehemu ya mazuri ya Ali Kiba.
Unauhakika taarifa ilimfikia Diamond na pili unaujua mfuko wa Diamond unashilingi ngapi,ujue sometime kama kitu hujui bora ukae kimya kuliko kumshuhudia mtu uwongo,kwani hujasikia upande wake Diamond anasemaje,alafu kwa nini Diamond kutomsaidia iwe nongwa ,yaani mnataka kuifanya ishu kubwa mbona wengine wasanii kibao hawajamsaidia,au ndio mnalazimisha Kiba akimsaidia Diamond naye LAZIMA amsaidie.
 
Ila Mange hana akili timamu kabisa, siamini kama kweli alipiga simu na kuwahoji Madaktari akijidai yeye ni dada wa Wastara, that was too much, Mange anapenda jenga uadui usio na ulazima kabisa, ila ndio maisha yake, ila yatamlipukia usoni siku moja na kuaibika sana, na hata kujimaliza kama mzee wake...
Siyo mtu mzuri kabisa..
 
Unauhakika taarifa ilimfikia Diamond na pili unaujua mfuko wa Diamond unashilingi ngapi,ujue sometime kama kitu hujui bora ukae kimya kuliko kumshuhudia mtu uwongo,kwani hujasikia upande wake Diamond anasemaje,alafu kwa nini Diamond kutomsaidia iwe nongwa ,yaani mnataku kuifanya ishu kubwa mbona wengine wasanii kibao hawajamsaidia,au ndio mnalazimisha Kiba akimsaidia Diamond naye LAZIMA amsaidie.
Fuatilia tuliko toka na binti kiziwi
Mimi comment yangu ilikuwa ni hakuna haja ya kumjadili diamond.
Ila nili imply diamond hakutaka kumsaidia wastara. Na wewe nakuuliza
Unadhani Wastara alikurupuka tu kusema Diamond hakumsaidia?
Mimi sjui mfuko wa diamond una shi ngap ila wewe unajua kias ganj Wastara alimuomba diamond?
Unadhani Wastara hana akili hadi amuome diamond pesa nje ya uwezo wake?

Nilimaliza kwa kusema msaada si lazima kwa hiyo diamond haya kama aliminyia kutoa msaada its okey.
 
Hahahaha
Unapanic, ukitulia utanielewa.
Ukizungumzia mtu ni ishu general
Mimi ni sipo toa msaada naweza toa sababu ila si sawa na bakhressa asipo toa msaada he must provide really reasonable sababu.
Kwa hiyo na conclude kwa uwezo wa diamond, kuto msaidia Wastara ulikuwa ni UCHOYO kwa sababu uwezo huo alikuwa nao. Na wale wote ambao hatukuwa na uwezo Wastara hakutundikia barua kama alivo mwandikia diamond.

Narudia tena, Ungesoma stori hiyo unge nielewa.
Sijapaniki, stori nimeisoma yote. Nimekuuliza muda wote huwa unakuwa na uwezo wa kutoa msaada au pesa? Umenipa mfano ati alikiba alienda kufanya show ili ampe wastara msaada je kama Diamond hakuweza kufanya chochote ili amempe msaada wastara? Ni lazima Diamond siku zote awe na uwezo wa kutoa msaada? Kama sivyo iweje aonekane mchoyo? Angalia maswali ya msingi ujibu.
 
Huyu mama asidhani kila mtu anamkubali, mi nilikua namkubali koz alimvumilia sajuki ila saizi namwona mganga njaa tu
 
Back
Top Bottom