Wastara Kikaangoni EATV, aibua mapya ya Mange Kimambi, Ali Kiba kumpa msaada na hasimu wake kumnyima

Sijapaniki, stori nimeisoma yote. Nimekuuliza muda wote huwa unakuwa na uwezo wa kutoa msaada au pesa? Umenipa mfano ati alikiba alienda kufanya show ili ampe wastara msaada je kama Diamond hakuweza kufanya chochote ili amempe msaada wastara? Ni lazima Diamond siku zote awe na uwezo wa kutoa msaada? Kama sivyo iweje aonekane mchoyo? Angalia maswali ya msingi ujibu.
Sijakupa mfano hayo kayasema wastara mwenyewe nilikusimulia kwa kuwa niliona huja soma article, na nilikusimulia hilo kutokana na madai yako kuwa diamond alikuwa hana hela nika kwambia hata Kiba alikuwa hana ila alizitafuta kwa uwezo wake ndio akatoa msaada.
Diamond atashindwaje kufanya chochote wakati ni mwanamziki, mfanya biashara yet wakat Wastara anaomba msaada Diamond alikuwa ana fanya shows (labda kama alifanya bure).
Halaf kama hakuweza si angempa feedback mwombaji kwamba siwezi kwa sasa sina!
Wastara siyo kwamba ni zuzu kias aombe msaada anao jua uta msumbua Diamond.

Mi siangalii maswali ya msingi huwa najibu neno kwa neno, hoja kwa hoja.
Hakuna sababu yyte ya kumtetea diamond kwenye hili ndugu yangu.
 
Fuatilia tuliko toka na binti kiziwi
Mimi comment yangu ilikuwa ni hakuna haja ya kumjadili diamond.
Ila nili imply diamond hakutaka kumsaidia wastara. Na wewe nakuuliza
Unadhani Wastara alikurupuka tu kusema Diamond hakumsaidia?
Mimi sjui mfuko wa diamond una shi ngap ila wewe unajua kias ganj Wastara alimuomba diamond?
Unadhani Wastara hana akili hadi amuome diamond pesa nje ya uwezo wake?

Nilimaliza kwa kusema msaada si lazima kwa hiyo diamond haya kama aliminyia kutoa msaada its okey.
" Diamond asinge shindwa kuwa na kias kidogo cha kumsaidia Wastara. alikuwa ni mchoyo"Hii kauli yako inaonyesha kwamba wewe unauhakika Diamond alikwa na ela ila hakumsaidia (Ushamuhukumu tayari ila unajitahidi kuzunguka), hebu irudie statement yake hii uanajitahidi kujivua uonekani humlaum Diamond lkn maneno yake yenyewe yanakukataa,pili ina maana wastara anajua Diamond yy kila siku ana ela au akaunti yake ina kiasi gani ?Tuaacheni lawama za kipuuzi.
 
Sijakupa mfano hayo kayasema wastara mwenyewe nilikusimulia kwa kuwa niliona huja soma article, na nilikusimulia hilo kutokana na madai yako kuwa diamond alikuwa hana hela nika kwambia hata Kiba alikuwa hana ila alizitafuta kwa uwezo wake ndio akatoa msaada.
Diamond atashindwaje kufanya chochote wakati ni mwanamziki, mfanya biashara yet wakat Wastara anaomba msaada Diamond alikuwa ana fanya shows (labda kama alifanya bure).
Halaf kama hakuweza si angempa feedback mwombaji kwamba siwezi kwa sasa sina!
Wastara siyo kwamba ni zuzu kias aombe msaada anao jua uta msumbua Diamond.

Mi siangalii maswali ya msingi huwa najibu neno kwa neno, hoja kwa hoja.
Hakuna sababu yyte ya kumtetea diamond kwenye hili ndugu yangu.
Sijasema Diamond hakuwa na hela nimesema ni lazima Diamond muda wote awe na msaada au awe na hela yakusaidia? Mi naongelea probability kuwa yaweza akawa nao msaada au asiwe nao, sijaelewa kwanini we unauhakika kuwa Diamond lazima alikuwa na chakumsaidia wastara ila aliamua kwa makusudi kumnyima "uchoyo". Natamani kujua uhakika huo unautoa wapi ikiwa wewe sio mtunza walett wa Diamond?

Mtu kufanya shows,kuwa msanii mkubwa, wala kuwa mfanya biashara haina gurantee kuwa anawezo wakumpa mtu msaada muda wowote anapoombwa.
 
" Diamond asinge shindwa kuwa na kias kidogo cha kumsaidia Wastara. alikuwa ni mchoyo"Hii kauli yako inaonyesha kwamba wewe unauhakika Diamond alikwa na ela ila hakumsaidia (Ushamuhukumu tayari ila unajitahidi kuzunguka), hebu irudie statement yake hii uanajitahidi kujivua uonekani humlaum Diamond lkn maneno yake yenyewe yanakukataa,pili ina maana wastara anajua Diamond yy kila siku ana ela au akaunti yake ina kiasi gani ?Tuaacheni lawama za kipuuzi.
Sasa braza unakosea mimi ntamlaumuje Diamond kwenye matumizi ya pesa zake? Nime eleza uhalisia tuu tena kiroho safi bila lawama, msaada ni hiari.
Tunashindwa kuelewana na nyie kwakuwa mnataka sasa mumtetee diamond eti alishindwa kutoa msaada eti hana hela. Tunamuongelea Diamond, msanii mwenye p0esa kuliko wote Tanzania haimek sense kumtetea.
Pili Diamond hakumwambia Wastara kuwa yeye hana hela, kwa hiyo tusiwe wasemaji wa Diamond.
Tuache kutetea upuuzi.
Mimi simlamumu Diamond hata kidogo. Iakini hainizuii kuongea uhalisia wa tukio.
 
Sijakupa mfano hayo kayasema wastara mwenyewe nilikusimulia kwa kuwa niliona huja soma article, na nilikusimulia hilo kutokana na madai yako kuwa diamond alikuwa hana hela nika kwambia hata Kiba alikuwa hana ila alizitafuta kwa uwezo wake ndio akatoa msaada.
Diamond atashindwaje kufanya chochote wakati ni mwanamziki, mfanya biashara yet wakat Wastara anaomba msaada Diamond alikuwa ana fanya shows (labda kama alifanya bure).
Halaf kama hakuweza si angempa feedback mwombaji kwamba siwezi kwa sasa sina!
Wastara siyo kwamba ni zuzu kias aombe msaada anao jua uta msumbua Diamond
.

Mi siangalii maswali ya msingi huwa najibu neno kwa neno, hoja kwa hoja.
Hakuna sababu yyte ya kumtetea diamond kwenye hili ndugu yangu.
Nilikuuliza unauhakika taarifa ilimfikia Diamond hukunijibu na nikakuambia vipi ushasikia upande wa pili wa Diamond yeye mwenyewe anasemaje hujajibu,lakini upande wa kutoa lawama upo vizuri kweli.Alafu kwa jinsi unavyongea (sehem nilizo highlight) moja kwa moja unamuhukumu Diamond ana roho mbaya hakutaka kumsaidia kama unaujua mfuko wa Diamond una kiasi gani au wewe ni messenger wa Diamond unauhakika taarifa ilimfikia ila hakutaka kumsaidia.
 
Kwani lazima uchangiwe na kila mtu unaemuomba msaada ?
 
Sijasema Diamond hakuwa na hela nimesema ni lazima Diamond muda wote awe na msaada au awe na hela yakusaidia? Mi naongelea probability kuwa yaweza akawa nao msaada au asiwe nao, sijaelewa kwanini we unauhakika kuwa Diamond lazima alikuwa na chakumsaidia wastara ila aliamua kwa makusudi kumnyima "uchoyo". Natamani kujua uhakika huo unautoa wapi ikiwa wewe sio mtunza walett wa Diamond?

Mtu kufanya shows,kuwa msanii mkubwa, wala kuwa mfanya biashara haina gurantee kuwa anawezo wakumpa mtu msaada muda wowote anapoombwa.
Nasema hivo kwasababu.
1.Diamondi hakumwambia Wastara kuwa hana uwezo wa kumsaidia.
2. DIamondi ni msanii tajiri namba moja Tz, kwa hiyo kusema hawez toa msaada is non sense
3. Wastara siyo chizi hawe kuomba msaada ule anajua diamond hawez kutoa
4. Na nyie hamko kwenye Wakket ya diamond kusema alishindwa kutoa msaada( though hii ni non sense point)

Wastara alikuwa hahitaji milioni 100 jaman
Hebu someni hiyo article mtajua.
 
Limbukeni malaya huyu demu!alitaka nchi nzima wamchangie yeye ni nani?
Wastara aelewe mdomo wake unampomza!!anamdekea nani sasa??
 
Nilikuuliza unauhakika taarifa ilimfikia Diamond hukunijibu na nikakuambia vipi ushasikia upande wa pili wa Diamond yeye mwenyewe anasema hujajibu,lakini upande wa kutoa lawama upo vizuri kweli.Alafu kwa jinsi unavyongea (sehem nilizo highlight) moja kwa moja unamuhukumu Diamond ana roho mbaya hakutaka kumsaidia kama unaujua mfuko wa Diamond una kiasi gani au wewe ni messenger wa Diamond unauhakika taarifa ilimfikia ila hakutaka kumsaidia.
Point zangu zangu ni

SI LAZIMA diamond amsaidie Wastara. Halafu hakuna haja ya KUMLAUMU diamond. Usichanganywe na nnavo jibu may be tone ime kaa kilawama but believe me silaumu mtu.
Lakini pia SI LAZIMA tumtetee diamond kwenye ishu iliyo wazi kama hii. Angeweza kabsaaa kutoa msaada.
 
Nasema hivo kwasababu.
1.Diamondi hakumwambia Wastara kuwa hana uwezo wa kumsaidia.
2. DIamondi ni msanii tajiri namba moja Tz, kwa hiyo kusema hawez toa msaada is non sense
3. Wastara siyo chizi hawe kuomba msaada ule anajua diamond hawez kutoa
4. Na nyie hamko kwenye Wakket ya diamond kusema alishindwa kutoa msaada( though hii ni non sense point)

Wastara alikuwa hahitaji milioni 100 jaman
Hebu someni hiyo article mtajua.
Kwenye kila Nonsense kuna Sense ndani yake ukitaka uamini toa Non inabaki sense pekee.

Ok tuendelee, Mi sipo kwenye walett ya mhusika ndio maana naongelea probability [anaweza kuwa nao au asiweze kuwa nao]. Hivyo sioni sababu yakuitwa mchoyo kisa hajatoa msaada. Kwanini unang'ang'ania kuwa Diamond ilikuwa lazima atoe msaada? Ujue binafsi sikuelewi? Nachelea kusema akili zako na za wastara zinafanana mkuu.
 
Point zangu zangu ni

SI LAZIMA diamond amsaidie Wastara. Halafu hakuna haja ya KUMLAUMU diamond. Usichanganywe na nnavo jibu may be tone ime kaa kilawama but believe me silaumu mtu.
Lakini pia SI LAZIMA tumtetee diamond kwenye ishu iliyo wazi kama hii. Angeweza kabsaaa kutoa msaada.
Tatitozo lake unazunguka kama dawa ya mbu ya kuchoma ,alafu unarudi pale pale na lawama zako najua sikujui lakini wewe ninauhakika unalawama hata kwa ndugu zako (huwapi hata nafasi ya kuwasikiliza ,ww ukishikilia lako ndio hilo hilo) alafu unagubu mpaka kwenye kuandika,hata siku moja usipende kulaumu bila kumsikiliza unayemlaumu kumbumbua kunadharura,kutokupata habari husika na kutokuwa na ela.Usiku mwema ila punguza gubu na lawama zisizokuwa na msingi.
 
Kama Cannula ilikaa vizuri ni kwanini alifuta post yake baada ya huyo mwenye cheti cha Milembe kuliamsha dude?
 
Kwenye kila Nonsense kuna Sense ndani yake ukitaka uamini toa Non inabali sense pekee.

Ok tuendelee, Mi sipo kwenye walett ya mhusika ndio maana naongelea probability [anaweza kuwa nao au asiweze kuwa nao]. Hivyo sioni sababu yakuitwa mchoyo kisa hajatoa msaada. Kwanini unang'ang'ania kuwa Diamond ilikuwa lazima atoe msaada? Ujue binafsi sikuelewi? Nachelea kusema akili zako na za wastara zinafanana mkuu.
Namuita diamond mchoyo kwa sababu sioni sababu ya yeye kutompa msaada Wastara eti kisa ni tapeli, sasa wewe mpaka Rais kamsaidia utamsemaje ni tapeli.
Unawekaje probablity ya diamond kuto kuwa na hela wakati yeye hakusema kuwa hana hela? Hiyo pribabilty ndio haimek sense.
Japo sioni shida ya mimi kuwa na akili sawa na za Wastara, Kusema nina akili sawa na za Wastara ndio tunarudi kule kule unaongea non sense kwa sababu unatakiwa uwe na at least ushahid wa kisayansi kulinganisha akili zetu.
Labda na wewe nikuulize unapata shida gani moyoni nikimuita Diamond mchoyo? Jambo ambalo ni kweli.
Sijasema ni mchoyo wa forever ila alifanya tukio ka kichoyo na hakuna sababu yyte ya kumtetea.
 
Diamond ndiye aliyesema wastara ni tapeli? Wakati imesemekana hakutoa feedback yoyote?

Sipati shida ya wewe kumuita Diamond mchoyo nilipenda niujue ulazima wa yeye kumsaidia wastara.

Kwanini hakuna sababu yoyote ya Diamond kutetewa?
 
Tatitozo lake unazunguka kama dawa ya mbu ya kuchoma ,alafu unarudi pale pale na lawama zako najua sikujui lakini wewe ninauhakika unalawama hata kwa ndugu zako (huwapi hata nafasi ya kuwasikiliza ,ww ukishikilia lako ndio hilo hilo) alafu unagubu mpaka kwenye kuandika,hata siku moja usipende kulaumu bila kumsikiliza unayemlaumu kumbumbua kunadharura,kutokupata habari husika na kutokuwa na ela.Usiku mwema ila punguza gubu na lawama zisizokuwa na msingi.
Braza samahani hunijui sikujui naomba ili nikuheshim na wewe uniheshim tusibandikiane character zetu na huo ndio ustaarabu na tuepushe kutaja ndugu maana tutafika mbali na tutapewa ban.

Hebu angalia post yangu ya kwanza nilisemaje. Kwanza kwa nn tumpe diamond nafasi ya kumsikiliza wakat operation isha isha. Na pili hii ishu siyo kesi kias kwamba lazima tumkabe diamond ajibu. Tatu hakuna haja ya watu kupanic kwa diamlnd kuitwa mchoyo kwani by nature binadamu ni wachoyo na yeye aki act kichoyo hapo.
Msome Wastara ana semaje utajua ninacho ongea kuhusu diamond utajua kwa nn nimesema alifanya uchoyo.
Nimesema usjali kuhusu tone ya maandishi yangu angalia nnacho sema na ningejua utakuja na conclusion hiyo nisinge kujibu hata mara moja.
 
Back
Top Bottom